Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande...

Wale ambao wanakula tunda kimasihala, halafu wanazaana kimasihala, wanalea watoto kimasihala.
Haya ndiyo matokeo yake. Poleni sana vijana, nyie ni zao la watu fulani kulana komasihala.
 
Iwe fundisho kwa wengine,

Starehe ya madakika tu inafanya maisha yako yote yaliyobaki yaishie Jela...

If they grow without the parents, who gonna tell them what is right.

If they grow without the parents, who gonna tell thrm what is wrong?

By Lucky Dube.

Halafu lingine ni kula tunda kimasihala, wanazaliwa watoto kimasihala, watalelewa komasihala. Matokeo yake ni haya.
 
Alieamaliza n yule mjinga aliejipiga picha wakido akaenda kumpa mhuni aliemtuma nxty wakajua wakisambaza wanamwaribia mzee

Hahahaaa sasaaaa

Mzeeeee yukooo huruuuuuu kama mzigooo anaendelea nae kama kawaida
Nadhani lengo la kupiga picha ilikuwa ni kumuonyesha aliye watuma ili walipwe mishahara baada ya kujiridhisha kwamba kazi wameifanya
 
Binafsi ingekua watanzania wote tuna moyo wa hivi basi tungekua sehemu salama

Kabla ya clip hii kuna clip iliwahi tumwa ya mwanaume aliyefumaniwa alilawitiwa na kudhalilishwa kama huyu Dada na ilisambaa lakini hakuna hata mmoja aliyepiga kelele kuhusiana na haki ya yule mhanga na wanaume wengi walisupport kile kitendo as if ni sahihi na kwamba mke wa mtu ni sumu

Nawaza tu kama tunalilia haki basi haki sawa iwe kila upande sio mwanaume akilawitiwa inaonekana ni sawa na wala hutosikia watu wakilalamika na inaonekana ni njia nzuri ya kukomesha kutembea na wake za watu Ila mwanamke basi mpaka press zitaitishwa na matamko kutoka taasisi za haki za binadamu juu ya ukatili aliofanyiwa

Binafsi naona maamuzi yamezingatia haki kwasababu sheria zipo kulinda haki lakini haki ziwe sawa kwa wote
 
Watu wengi sana wanafanya makosa ambayo wanayachukulia ni ya kawaida kwa kutokujua ila kiuhalisia ni makosa ambayo adhabu yake kwenye penal code ni kubwa ukipatikana na hatia.

Kuna mtu alitaka kuchoma nyumba yake mtaani mbele ya mashahidi kisa amezinguana na mke wake anasema ataoa mke mwingine na atajenga nyingine yani hata hajui kosa hilo analolifanya adhabu yake ni miaka 30 jela
 
Hii hukumu imetolewa kimihemuko sana, yani kifungo Cha maisha kwa kumpiga mtu mtungo?? Au ndio janja janja ili baadae wakate rufaa waachiwe huru? Vipi kuhusu afande aliewatuma??

Hizi hukumu wapigeni na mafisadi na wezi wa Mali za umma, sio walala hoi/watoto wa kimasikini ( walevi wa bange) mnawapiga mvua ya mawe alafu mafisadi wanapewa vifungo vya nje.
Kosa la gang rape kifungo ni maisha tu hakuna option nyingine. Ulitaka itolewe hukumu tofauti na hii ili iweje?

Kuna hukumu hakimu anakuwa amefungwa mikono na sheria hana tena discretion bali kuangalia tu sheria inasemaje anapita mule mule.
 
Kuna mpuuzi mmoja humu JF alikuwa anafungua nyuzi kama zote akijiapiza hawatafungwa kwasababu eti serikali inawapigia magoti asikari nikamwambia hajui alifanyalo.

Serikali iwapigie magoti asikari wangekuwa wanaishi maisha magumu kama mawe wakati na baada ya ajira?

Nimemsahau huyu member lakini nilichokuwa namhakikishia tu ni kwamba wanaenda kufungwa kwakuwa hana uelewa wa mambo ya sheria nikaona anaendeshwa na ego tu.
Sijui yupo wapi leo, hata Mimi nilimwambia mambo ya Sheria yapo. complicated Sana
 
Back
Top Bottom