Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Hivi hiyo pict inauhusiano wowote nawewe ,??
Hapana. Kabla sijaingia jamiiforums, kuna mtu nilikuwa napenda michango yake kwenye majukwaa, picha aliyokuwa ameweka, ni picha ya Ben Carson, huyo unaemuona kwenye profile yangu. So, na mm nilichagua kutumia picha ya huyo Mzee
 
Bonge moja la point wabheja sana!!
 
Bonge moja la point wabheja sana!!
Upendo haugawanyika kamwe....ukigawanywa tambua hakuna kitu hapo....afu sikuzote dalili ya mvua ni mawingu...?ukiona mambo mengi ni ya kuvumilia ukiingia kwenye ndoa utalia na kusaga meno
 
Upendo haugawanyika kamwe....ukigawanywa tambua hakuna kitu hapo....afu sikuzote dalili ya mvua ni mawingu...?ukiona mambo mengi ni ya kuvumilia ukiingia kwenye ndoa utalia na kusaga meno
Kabisa mtu wa hivo ni wa kumuogopa kama ukoma janja janja lazima ziwe nyingi!!
Pesa inaleta jeuriii pesa inaleta dharau na heshima pia!!
Ukute huyo Mwenye pesa ndio hamnazo sasa hakuna rangi utaacha ona!
Ifike mahala tujikubali tu na umasikini wetu potelea pote! kwani mwanzo haukuishi?? Tupa kuleeeee ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Kabisa mtu wa hivo ni wa kumuogopa kama ukoma!!
Pesa inaleta jeuriii pesa inaleta dharau na heshima pia!!
Ukute huyo Mwenye pesa ndio hamnazo sasa hakuna rangi utaacha ona!
Ifike mahala tujikubali tu na umasikini wetu potelea pote!
Hakika Nimefika tamati cute ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.....my๐Ÿฆถ
 
Uzuri Maisha lazima yaendelee dear no matter what sio mwisho wa maisha! Funga kamba safari iendelee โœŒ๏ธโœŒ๏ธ๐Ÿ˜˜!
Thanks love ๐Ÿ’•๐Ÿ’•
 
Vipi dada angu tena.. Kuna shida na shemeji?
 
Shida nakurupuka mno to trust someone
Yeah kuna muda unamuamini sana mtu ila binafsi nikiona unaonesha kuvunja uaminifu wangu kwako alooo huwa sijareee wala nini hata uwe unanihonga vitu gani ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ! Sipendagi dharau za rejareja kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ