Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Nipo msibani hapa Soweto, tumejitenga kidogo kwenye ki grocery hapa tunazalisha joto la miili kushindana na hii hali ya hewa jioni hii.😊
Ngoja nije....Yaan sasa hivi
 
Haha sijui hukuvutiwa nami wakati vigezo vyote ninavyo dah😄
Mapenzi haulazimishwi, bali tunaangalia hitaji la moyo at that particular time. Usijari kila jambo lina muda wake and everything happens for a reason To yeye
Yeah,sure... everything happens for reason 👊
 
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Hii ni kweli mtupu.
Sema tatizo kuu ni malezi na pia makundi ambayo mtu anashirikiana nayo.
 
Niko bukheri wa afya
Haha mwambie ukweli bhana, bukheri wa afya wakati psychologically you're being tortured my dear?
Come over here to kill that stress together with me, in your ups and downs I'll always be with you.
 
Pole bwashee, unatakiwa utumie fursa hiyo alokupatia kumfanya hasiwakumbuke tena ok.

So kijana umethaminiwa hivyo basi piga kazi bwashee, uvivu ni utoto ujue eb kuwa serious bwana
 
Imfikie mbwa yule shemeji yangu mbwa zaidi ya mbwa na ni mbwa hadi kufa kwake ana nenepea vidonge vya uzazi kichwani ana kinda sana mbwa yule
Acha bwana, mie uwa namchukia mwanaume anayemtukana mwanamke bwashee,

Ulithaminiwa na kuheshimiwa ukapewa kazi, je ulitekeleza kazi yako kwa ufanisi ilivokuwa inatakiwa?
 
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pole , ameshamkula X-wake ???
 
Back
Top Bottom