GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
Mshana ungeweka kipengele cha tatu ingepanua wigo zaidi.

3 wa kubaki nyumbani
 
Wewe akili nyingi msomi kaanzishe uzi wako utumie methodology.
 
NRNE 2
 
Mimi nitakuwa na VPN magetoni naangalia kinachoendelea kupitia mtandao
Sio wewe tu.Wapo wengine wengi tu Keyboard warriors kazi yao kuropoka JF na X.Ni nyoka wa kibisa hawana madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…