Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Hata wewe uliyoyaongea kuhusu lissu ndio atakyosema ni mawazo yako pia.

Mkuu tambua fedha nyingi sana ya kodi inapotea kizembe,ebu fikiria ile katiba ya warioba ilivyosema ,ilipendekeza baadhi ya vyeo vifutwe maana havina tija yoyote zaidi ya fadhila kwa wana ccm.

Ebu fikiria fedha tunazotumia kununua VX za milioni 300 kwaRC,DC,DEC,RAS na watu wanaofanana na hao ni Tsh Bilioni ngapi? Fikiria Maintanance zake na mafuta kwa mwaka ni mabilioni mangapi? Fedha zipo nyingi sana zinapotea kizembe ,ebu fikiria mkuu wa wilaya,mkoa unaenda kumpangishia nyumba masakai wakati analipwa mshahara huo si utapakanaji wa fedha za umma?

Nenda zanzibar viongozi wake wako simple tu ,jioni unawakatu wanapiga kahawa na wananchi na makazi yake ni ya kitaani tu kawaida,makatibu wa wizara ,mawaziri wapo simple tu hawana complication kama wabara ,cha kushangaza eti DC unampa Kilimo kwanza la milioni 300 halafu unampa nyumba ,unampa mshahara mil6 kwa faida gani anayoiingizia taifa?

Kichuguu fedha TZ ipo nyingi sana sema tunaitapakanya tu,kodi itapunguzwa na mishahara itaongezeka kama kawaida tu.
hizo VX unazosema hazikuanza jana tu. zilianza wakati wa Mwinyi. magufuli ana utetezi mkubwa sana kuhusu matumizi mazuri ya kodi kuliko tawala nyingi zilizopita
 
Basi kama ni hivyo akubali haraka sana mdahalo ili kazi iwe nyepesi jombaa
Nimekuambia kuwa mdahalo wa mwisho tanzania ulikuwa mwaka 1995; kwa vile hatujahi kuwa na mdahalo tena, hakuna haja kubadili gia angani mwaka huu tu. kila mgombea akanadi sera zake kwa wapiga kura
 
Hata wewe uliyoyaongea kuhusu lissu ndio atakyosema ni mawazo yako pia.

Mkuu tambua fedha nyingi sana ya kodi inapotea kizembe,ebu fikiria ile katiba ya warioba ilivyosema ,ilipendekeza baadhi ya vyeo vifutwe maana havina tija yoyote zaidi ya fadhila kwa wana ccm.

Ebu fikiria fedha tunazotumia kununua VX za milioni 300 kwaRC,DC,DEC,RAS na watu wanaofanana na hao ni Tsh Bilioni ngapi? Fikiria Maintanance zake na mafuta kwa mwaka ni mabilioni mangapi? Fedha zipo nyingi sana zinapotea kizembe ,ebu fikiria mkuu wa wilaya,mkoa unaenda kumpangishia nyumba masakai wakati analipwa mshahara huo si utapakanaji wa fedha za umma?

Nenda zanzibar viongozi wake wako simple tu ,jioni unawakatu wanapiga kahawa na wananchi na makazi yake ni ya kitaani tu kawaida,makatibu wa wizara ,mawaziri wapo simple tu hawana complication kama wabara ,cha kushangaza eti DC unampa Kilimo kwanza la milioni 300 halafu unampa nyumba ,unampa mshahara mil6 kwa faida gani anayoiingizia taifa?

Kichuguu fedha TZ ipo nyingi sana sema tunaitapakanya tu,kodi itapunguzwa na mishahara itaongezeka kama kawaida tu.
Thus awazalishi tija hivi hizo vx zenye thamani zaidi ya hospital au sekondari zinachangia vipi ukuaji wa uchumi pili hao ni watumishi kama wengine na si watendaji kwann wasipande daladala au waendeshe magari yao kama walivo watumishi wengine kuliko serikali kupoteza mabilioni mengi kuwanununlia mavx hayo ili kuokoa gharama.
 
Nduli makufuli hana uwezo wa kujenga hoja, yeye anachojua ni kuwacharaza wenzie mvua za risasi tu.
Kwa Africa mashariki hadi sudani mwenye uwezo wa kuitisha mdahalo wa kujibu hoja kwa hoja ni Uhuru Kenyatta pekee wengine hawajiamini kwa sababu hawana uwezo wa kushawishi na kujenga hoja na mpangilio wa speech za kuvutia.
 
nimekuambia kuwa mdahalo wa mwisho tanzania ulikuwa mwaka 1995; kwa vile hatujahi kuwa na mdahalo tena, hakuna haja kubadili gia angani mwaka huu tu. kila mgombea akanadi sera zake kwa wapiga kura
Tutawapimaje sasa kama wasipotuambia watatufanyia nini ili kuwapa mkataba wa kulamba kodi zetu 5 yrs.wabunge walifanya mdahalo walishindana na kwa hoja na sera
 
Wazo zuri la kuandaa mdahalo lakini Tume ya uchaguzi haiwezi ikathunutu kufanya hicho kitu. Nashauri Chuo Kikuu cha Dsm kiandae mdahalo, ama wana harakati ndio waandae mdahalo.
 
kama ulikuwa unajiandaa mitihani kwa kukarii inawezekana hujui nmaana ya kujiandaa. maandalizi maana yake ni kupanga facts zako right. hata wanasheria humuomba hakimu muda kuwa wanata wajiandae siyo kuwa wanataka kukariri mambo. mwaka 1995 nyerere akihutubia waandishi pale kilimanjaro hotel aliwaambia kuwa ingawa ana facts nyingine anazotaka kuziongelea lakini alikuwa hakuziandaa vizuri, hivyo akawaambia atayaongelea mambo hayo siku nyingine; siyo kuwa alikuwa anataka kukariri. hata mwalimu anapota kufundisha huwa anajiandaa hata kama alishafundisha mambo hayo kwa miaka 20 bado atajiandaa. kujiandaa siyo kukariri

..Jpm siyo mzungumzaji.

..kama umefuatilia mikutano ya Jpm huwa na wazungumzaji, washereheshaji,na wasalishaji, wa kila aina.

..hiyo yote ni kuficha mapungufu yake kuwa hana uwezo wa kuzungumza akajenga hoja kwa muda mrefu.

..pia Jpm muda wowote ule anaweza kutoa kauli za matusi, kufadhaisha, au kudhalilisha, hivyo siyo vizuri kum-expose kwa muda mrefu.

..Ni mara ngapi umesikia Jpm ametoa kauli ambazo imebidi wasaidizi waje wazifafanue, au wafukie-fukie, damage iliyotokea?

..Jpm akifanya vizuri kwenye mdahalo hayo yatakuwa ni MAAJABU.
 
Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
Waliokimbia ni Chadema au ni chama fulani hivi kwa kuhofia mdahalo ungefanywa kwa lugha ya Kingereza...
 
tutawapimaje sasa kama wasipotuambia watatufanyia nini ili kuwapa mkataba wa kulamba kodi zetu 5 yrs.wabunge walifanya mdahalo walishindana na kwa hoja na sera
Kampeini ziatafanyika nchinzim. kama hakukuwa na huo mdhalo mwaka 2000, 2005, 20010, 2015 nabado uchaguzi ulifnyika na mshindi alipatikana; kelele za nini leo
 
..Jpm siyo mzungumzaji.

..kama umefuatilia mikutano ya Jpm huwa na wazungumzaji, washereheshaji,na wasalishaji, wa kila aina.

..hiyo yote ni kuficha mapungufu yake kuwa hana uwezo wa kuzungumza akajenga hoja kwa muda mrefu.

..pia Jpm muda wowote ule anaweza kutoa kauli za matusi, kufadhaisha, au kudhalilisha, hivyo siyo vizuri kum-expose kwa muda mrefu.

..Ni mara ngapi umesikia Jpm ametoa kauli ambazo imebidi wasaidizi waje wazifafanue, au wafukie-fukie, damage iliyotokea?

..Jpm akifanya vizuri kwenye mdahalo hayo yatakuwa ni MAAJABU.
lissu ni mropokaji na mwenye hasira binafsi dhidi ya magufuli; mara nyingi amekuwa anaongea mambo ambayo hana ushidi nayo. akiwa DC kwenye mojawapo ya safsri zake za kumtukana Magufuli Marekani watu kaadhaa walimwambia hilo la kuropoka mambo bila kuwa na ushahdi, na vile vile wakamshauri apate psychological counselling.
 
..hata wewe ungeshambuliwa ktk mazingira kama ya TL lazima ungekuwa na hasira na watawala.

..ila kwa upande mwingine lazima tukubali kuwa jamaa ni very STRONG in his faith and values kuweza kushambuliwa namna ile na bado akabaki na utimamu aliokuwa nao leo.

..TL wakati wa kutangaza nia alisema kama akichaguliwa atapenda kuunda TUME YA MARIDHIANO ili wote walioumizwa wapate kufarijiwa na kuondoa uwezekano wa kulipiziana kisasi.
 
mimi siamini kuwa lissu alitaka kuuwawa kwa njama za serikli. kuna sababu nyingi sana za kikacher kuhusu hilo. inaelekea tu kuwa ana maadui wengine ambao wako karibu naye; kikulacho ki nguoni mwako. serikali haiwezi kutumia njia za kijambazi za waziwazi vile. soma makala ya evarist chahali
 
..nitapenda kuisoma makala ya Evarist Chahali.

..lakini kwangu mimi kitendo cha walinzi wa serikali kuondolewa eneo aliloshambulia kinanielekeza walipotokea wauwaji.

..tukio lile silichukulii kama ujambazi, bali ni mpango mahususi ambao wahusika waliutekeleza wakiwa wanajiamini kuwa hawatachukuliwa hatua.

..mtu anapofanya tukio la aina ile, katika eneo lile, ni kwamba amejihakikishia kuwa hatakamatwa, kuwa ana backup ya nguvu.
 
Katika hilo jengo la mdahalo hakikisheni nje Kuna ambulance, just in case mmoja anaanguka ghafla. Si mnafahamu wagombea wetu ni 60+ na yule ambae ni under 60 ana vyuma mwili mzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii safi. Mdahalo lazma uwepo. Kama wenzetu kenya. Hlf hakuna mambo ya kuchagua lugha...cjui kikwenu cjui....big No...mambo ni full mng'ato lugha ya malkia mamaaeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom