Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

Ni kweli Kabisa juzi nilimuona pale Meru ...ana msongo mawazo!
Sidhani kama aliJua anachofqnya!
Kiashiria kibaya Kabisa Kwa CCM ni Kauli ya Jaji Warioba!
Huyu Mzee huwa yupo making sana kuikosoa CCM .Ukiona Warioba anapinga kitu Cha CCM hapo ogopa!
Inawezekana hata Kauli ya Malechela juzi ilikuwa ni kupooza hali ya hewa!.Bahati mbaya sana Malechela siku hizi haeleweki ,nafikiri uzee umemuathiri ..sidhani hata kamam alisoma Yale makubalino!
 
sure, body language, facial expressions and her tone tells everything. Vimechange mno.
Ipo kitu nafasini mwake inafukuta huenda ikawa sio issue ya Bandari but iko kitu ndani yake inamfikirisha na kumfarakanisha ndani kwa ndani nafasini.
 
Amesema ameweka vizibo masikioni .hasikii wala hataki kusikia
 
Ilianza kubadilika taratibu tangu hapo kabla. Japo Alisema yeye hawezi kufoka foka na kwamba atatumia zaidi kalamu; Ila kwa sasa ukweli ni kwamba anatufokea wananchi tena kwa vijembe!
Huwa najiuliza hivi wakati wa kutuomba kura 2025 atakuwa na ujasiri wa kutoka wapi kama sasa hivi hawajali wamama na wananchi wanyonge (wa hali ya chini) ambao ndo maskini ya Mungu huwa wanapiga kura kwa uaminifu kulinganisha na matajiri ambao kwanza ni wachache na pili wengi wao hawanaga muda mchafu wa kwenda kupiga kura!
 
Niliwahi comment huko nyuma, mama Samia takes everything for granted.
Anawaamini sana wasaidizi wake.
Hakai ofisini kuhoji kama wako makini.
Kila siku yuko huku yuko kule, anafungua sherehe hii na ile.

Niliwahi kujiuliza, NANI ANAFANYA KAZI ZAKE OFISINI?

Suala la bandari is a failure of checks katika the presidential office.
Ingawaje hawezi kulaumiwa kwa asilimia 100 Rais, kwa vile Katibu Mkuu ofisi ya Rais na watendaji wengine, wapo.
Lakini uwajibikaji katika hili linamponza Rais moja kwa moja.

Rais aitupie jicho ofisi yake na kuhoji kwa nini limetokea.
 
Nao pia ni raia wa nchi hii wanayo haki sawa ya kuukubali na kuusifia mkataba Kama ilivyohaki uliyonayo ya kuukataa,

Mwenye nguvu ndiye mshindi.
 
Rostam ana kashfa nzito ya RADAR toka 2011, na anatafutwa Uingereza.
 
The guilty are afraid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…