Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My God!Na huu ni mmoja katika ile mikataba 37 iliyosainiwa kwenye maonesho ya Dubai,hatujui hiyo 36 iliyobakia inasomekaje, ukisikia kuuzwa sasa ndiyo huku. Maza anaupiga mwingi hadi unamwagika.
Haya mambo ni kelele za kwenye mitandao tu, lakini mtaani watu wako bize na mambo yao. Na huu ni upepo utapita, Raisi ni taasisi inayopima mambo, kufeli kwa maandamano ni dalili kua hizi ni kelele za mitandaoni tu.Amegundua kuwa kumbe watanzania wanaweza kuamua kufuatilia mambo yao, kuyaelewa vizuri na hata kuyakomalia kwa hoja.
Hujui kuwa mitandao ndio njia ya kisasa ya kutoa hoja bila kuhitaji kundamana mitaani na inafanya kazi kubwa mno? Ona Samia alivyonyong’onyea kwa maandamano ya mitandaoni pekee.Haya mambo ni kelele za kwenye mitandao tu, lakini mtaani watu wako bize na mambo yao. Na huu ni upepo utapita, Raisi ni taasisi inayopima mambo, kufeli kwa maandamano ni dalili kua hizi ni kelele za mitandaoni tu.
Mda si mrefu zomea zomea ya enzi za mzee wa Msoga itaanza., ukikatiza tu unamavazi ya kijani jamii inaanza kukuzomea.Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki.
Lakini hii yaweza kumaanisha nini?
1. Kwamba ameguswa na yanayoendelea kuhusu bandari
2. Hakutegemea yanayoendelea kufika mbali hivyo
3. Ni dadili ya kusutwa dhamiri
4. Anahisi kupoteza uungwaji mkono na heshima aliyojijengea (loss of trust).
5. Amekuwa kwenye shinikizo (stress) kubwa kipindi hiki
6. Amegundua kuwa kumbe watanzania wanaweza kuamua kufuatilia mambo yao, kuyaelewa vizuri na hata kuyakomalia kwa hoja.
7. Amekuwa defensive na mwenye mipasho kinyume na tunavyomjua.
Ama kwa hakika hiki ni kipindi kigumu kwa rais wetu.
Sasa;
Anapaswa kuwa mkweli kwa nafsi yake na kwa nchi yake.
Anapaswa kuruhusu mchakato wa wazi na wa kizalendo juu ya bandari zetu.
Anapaswa kuepuka wasaidizi wake wanaomsifia kupita kiasi na kumshauri kinafiki.
Tunamwomba rais wetu asibweteke na kuanza siasa za kibabe kama anavyoshauriwa na wanafiki wengi waliomzunguka kwani mkakati huu utakuwa na madhara makubwa kwake na kwa wananchi.
NB: Suala la kupuuzia marekebisho ya katiba litamletea fedheha kubwa zaidi siku zijazo.
Utaweka vizibo baada ya kwanza kukisikia kinachoongelewa. Mara moja moja lazima utatoa hivyo vizibo Ili kunyonya nondo za wazalendo wa Kitanganyika.Amesema ameweka vizibo masikioni .hasikii wala hataki kusikia
Hivi unadhani anaweza kupata kura ngapi kutoka Tanganyika? Nadhani Chama chetu kitatumia njia yoyote Ili asisimame.Huwa najiuliza hivi wakati wa kutuomba kura 2025 atakuwa na ujasiri wa kutoka wapi kama sasa hivi hawajali wamama na wananchi wanyonge (wa hali ya chini) ambao ndo maskini ya Mungu huwa wanapiga kura kwa uaminifu kulinganisha na matajiri ambao kwanza ni wachache na pili wengi wao hawanaga muda mchafu wa kwenda kupiga kura!
Kabudi kwenye hiyo cabinet ya Samia unamlinganisha na nani? Cabinet yote walio karibu na Rais vyote ni viazi vitupu.Kabudi huyuhuyu aliyemuita jiwe mungu[emoji849]
Acha ujinga.Wakatoliki acheni chuki