Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

Huo ni umbea wako
Wa kutaka uungwe mkono na wengi

Unajaribu kubadilisha usiku uwe mchana na ss tuamini hivyo!

Hayo uliyoongea ni fikira zako zimekutuma huko lkn sio In general!
 
Hilo la ofisi ni kweli. Mimi binafsi nina ushahidi. Nimemwandikia Rais barua hiyo hiyo mara 2 sijawahi kupata barua ya kukiri kuipokea hata kutoka kwa wasaidizi wake mpaka kesho. Sidhani kama Ofisi ya Rais inajua kuwa mawasiliano ya kiserikali yanafanywa kwa maandishi na siyo kupitia sherehe na majukwaani! Mwenyezi Mungu Atusaidie siku moja matatizo ya watu binafsi katika ngazi ya Rais na siyo biashara yaanze kutiliwa maanani.
 
Asante mkuu kwa ushuhuda.
Wengi tuling'amua siku nyingi.
Ofisi ya Rais iko kwenye autopilot!
 
Jambo kubwa hapo ni usaliti wa baadhi ya Wasaidizi wake.Wanamshauri vibaya na wengine hawamtakii mema ndiyo maana wamevujisha hata mkataba wenyewe.Umesahau kuweka hili na ndilo linamnyima usingizi.
 
Kabudi kwenye hiyo cabinet ya Samia unamlinganisha na nani? Cabinet yote walio karibu na Rais vyote ni viazi vitupu.
Kuhusu Kabudi nitatetea hadi nishati yangu ya mwisho iondoke.Huyo ni hazina kubwa mno.Amefanya kazi ya kutukuka sana kwenye sheria za madini.
 
ana nafasi.ya kutubu na kutuambia watanganyika nimekosea
 
Issue ya Bandari inaweza kuwa sawa ila naona walioko nyuma yake wakipush ajenda inatiamashaja sana, nguvu inayotumika ni kubwa sana, mwenye akili anatefikiria sawasawa lazima atadoubt.
Issue ya bandari haiwezi Kuwa sawa kwa namna yoyote ile.
 
Suala la kupuuzia marekebisho ya katiba litamletea fedheha kubwa zaidi siku zijazo.
Wala hakuna shida yoyote itampata. Watanzania hawajali, hawajui haki zao na huwa ni watu wa "hewala".

Hata akiamua kuua wapinzani wote kukaa vipindi 6 madarakani hakuna wa kumgusa.
 
mikataba yote wapewe wananchi hata Wa gesi hata kama upo msoga wakauchukue that is enough
 

Attachments

  • sUFff0Vh_400x400.jpg
    23.9 KB · Views: 1
Ongea ya Rais Samia🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
ccm hvyo sana juzi yule mbeba mikoba ya uwizi pale bungeni kabla hajaanza kusoma matrilioni yake yapitishwe akaanza kwakusema mama tumpe maua yake yaani nilimwona kama kanjibai tu
Aisee hata mimi aliniongezea hasira kinoma, kuna tension kubwa sana kuhusu hili suala la bandari.
 
Wala hakuna shida yoyote itampata. Watanzania hawajali, hawajui haki zao na huwa ni watu wa "hewala".

Hata akiamua kuua wapinzani wote kukaa vipindi 6 madarakani hakuna wa kumgusa.
Hata ugomvi hautaamriwa?
 
Aliambiwa na mkewe
 
Nadhani ameyasikia mawazo yote yaliyotelewa na amesikia watu wakianza kudai kugawana mbao na wengine kudai Tanganyika. Hivi Jusa kweli mbao zikigawanywa anadhani watatosha huko kwao kwani itabidi kila mtu akae kwao tuwe majirani kama anavyodai. Haya nasubiri muda
 
Mengi uliyosema nimeyapenda.Niseme tu kwamba kama binadamu ana haki ya kuona aibu.Kiukweli swala la Bandari limekuwa
msumari wa moto sana kwake,ila ameyataka mwenyewe.Hivi niamini kwamba hakujua
mkataba wa DP world ni wa hovyo,I strongly believe that she is bought.Kama she is bought au hajui kwamba Mkataba wa DP World ni wa hovyo,whatever the case may be,basi hatuna Rais,come 2025 atupishe.

Lakini umezungumzia swala la katiba.Sijawahi kuamini kwamba katiba inaweza kumdhibiti mtawala aliyedhamiria ku-fraud nchi anayoingoza,what we need is political will.Ninalosema ni nini,tukiwa na kiongozi mzuri,mwenye nia njema na nchi yake,katiba ya 1977 kimsingi inatosha.Tatizo ni viongozi,sio katiba.Unaweza kuwa na the best Constitution in the World ikakanyagwa,kama ya 1977 ilivyokanyagwa na Samia,kwanza katika kuzima a peaceful demonstration ambayo ni haki ya wananchi kikatiba na katika swala la Mkataba wa DP World.Katika swala la DP World katiba ya 1977 imekanyagwa kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…