Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Kwa bahati mbaya kunuka k nikama kunuka mdomo muhusika anaweza asijijue daima, tuwasaidie wanawake kujua hali hii, mimi nimemuokoa mchepuko wangu sahivi hanuki tena.
Sikumuonea haya nilimueleza kwa upendo alijisikia vibaya kiasi lakini nilienda kituo cha afya walinipatia dawa sahivi yuko fresh.
 
Wadada jamani mjisafishe hali sio pouwa, nisichokielewa kwa nini hawasijisikii kunuka? Unamkuta mdada mzuri ila ukimpekenyua sasa , shombo la samaki likasome , wengine ni magonjwa ya zinaa, ukiona mwananamke anasumbuliwa na UTI sugu ujue hilo ni gono hakuna kingine,
 
Em andika jina la hiyo dawa, akitokea wa hivyo na mimi niwe naandikia dosage🩺🥼👨‍⚕️😷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…