x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
Kwa bahati mbaya kunuka k nikama kunuka mdomo muhusika anaweza asijijue daima, tuwasaidie wanawake kujua hali hii, mimi nimemuokoa mchepuko wangu sahivi hanuki tena.
Sikumuonea haya nilimueleza kwa upendo alijisikia vibaya kiasi lakini nilienda kituo cha afya walinipatia dawa sahivi yuko fresh.
Sikumuonea haya nilimueleza kwa upendo alijisikia vibaya kiasi lakini nilienda kituo cha afya walinipatia dawa sahivi yuko fresh.