Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,408
36. Alliance one tobacco1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Hao wazungu nao wana nenge?36. Alliance one tobacco
Eti mie ni EN hahahahaha kijana bwanaUnaambiwa ukweli unakuwa mkali nilitegemea utakuja na hoja uthibitishe bizo Pesa huko Iselamagazk unazipaataje wewe EN unaishia kutukana, Kwanza Mzee wangu hajafa na hakuwa maskini kabisa na wala mimi sio Maskini na sitaweza kuwa maskini kamwe
Jifunze kuwa unjibu hoja vizuri mkuu!!
Na wilayani pia inategemea uko kitengo ganiMahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
MUST sio staff wote ni walimu..kuna wahasibu, IT , wahudum wa masjala, supplies officers n.k Pana Njaa Kali sanaa-Ondoa BRELA Kwa sasa ni pazuri Ofisa wa brela anaenza kazi analipwa mara 2 ya askari magereza au police au zimamoto au ofisa wa halmashauri, pia wana extraduty, housing,nk
-MUST ondoa salary scale ya Tutorial Kwa sasa ni 1.75+m na Wana posho ya vipindi nk
- Taaisi nyingine kwenye orodha yako zitategemea na Cheo chako eg ukiwa Jaji unakula maisha,
BRELA Afisa II anaaanza na Tshs ngapi salary-Ondoa BRELA Kwa sasa ni pazuri Ofisa wa brela anaenza kazi analipwa mara 2 ya askari magereza au police au zimamoto au ofisa wa halmashauri, pia wana extraduty, housing,nk
-MUST ondoa salary scale ya Tutorial Kwa sasa ni 1.75+m na Wana posho ya vipindi nk
- Taaisi nyingine kwenye orodha yako zitategemea na Cheo chako eg ukiwa Jaji unakula maisha,
Mishahara DAWASA iko chini sana?Mkuu Dawasa njaa imekuja miaka hii baada ya mifumo kubadilika
Njaa sana hao36. Alliance one tobacco
Hawa jamaa wanahela ila sijui shida nn.36. Alliance one tobacco
Fala sana Ujue wwOngeza na hizi
1.mwalimu bank
2.Airtel
3.Brac
4.Asa microfinance
5.Gpsa
6.cwt
7.chama cha wanasheria Tanganyika
8.ruwasa
sasa hakuna njaa, alafu inategemea upo kitengo gani,.. mbona unajikanganya mkuu?Mahakama hakuna njaa inategemea upo kitengo gani!
Kampuni yoyote ya
1. Mwarabu
2.Mchina
3.mweusi
4.Mhindi
Utaishi kwa tabu mno
Kwani unatakaiwa ulipwe Tsh ngapi ili ionekane kwamba hakuna njaa? Kwani mishahara huwa ni sawa kwa wafanyakazi wote walioajiriwa kwenye kampuni husika? Hata BOT au Bandari kuna watu wanakula Mshahara Manara(Laki 7) na kuna watu wapo kampuni za kawaida hazijulikani kabisa wanakunja hadi 4m.1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Wasafi media wafanyakazi wamekimbia njaa1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Kwa nini? Wale law mbona ukiwagusa tu hata kukushauri ni mamilion wanataja.Law firms,na Auditing firms
Brela Company registration fees zote zile, bado bila bila pale.1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Nazani hujaaahau kitu bigup1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel