Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Hahaaa kuna bank hapo juu umeitaja inayohusu muunganiko wa bank nyingi nyingiii.
Juzi nimeenda toa hela kwao kwa cheque, naweza kukubaliana na ww. Kwanza maeneo ya ofisi yao machafu machafu na non decorated
Tanzania commercial bank hiyo bila shaka
 
Vp GST?
 
Mahakama hakuna njaa inategemea upo kitengo gani!

Kampuni yoyote ya
1. Mwarabu
2.Mchina
3.mweusi
4.Mhindi

Utaishi kwa tabu mno
Ofisi ya mwanasheria mkuu wananjaa eti wanaligania ml 3 kwa mwezi hadi wanataka kuuana namahala pengine ml 400 wanapigania kama mshahara kwa mwezi
 
Soma hio ya kwanza, ila kama ni Open University ukishindwa hio BBA soma Sheria(LL.B) utakuwa na nafasi nyingi sana za kazi TRA na Taasisi zingine nzuri kuliko hio BBA.

Shauri yako vitu vigumu ndio vizuri, ukisoma hio utakuwa na sifa ya kuingia Taasisi nzuri nyingi sana.
naomba kuuliza kati ya Degree ya IT na degree ya sheria, ipi ina chance kubwa ya kunisaidia niingie kwenye taasisi nzuri? (zinazolipa vzuri).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…