Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Wafute Brela na Rita
 
Halina njaa sema baadhi ya watu wasio na matumiz mazuri ya pesa ndio ufanya lionekane lina njaa ata TPDF pia wana njaa
baadhi? πŸ˜‚ bro hawana unafuu, labda officers na high ranking NCOs

Tpdf ndio wana unafuu, marupurupu waliyonayo poliche hawana.
Wangekuwa na njaa hiyo nchi ingekuwa pagumu kuishi
 
baadhi? πŸ˜‚ bro hawana unafuu, labda officers na high ranking NCOs

Tpdf ndio wana unafuu, marupurupu waliyonayo poliche hawana.
Wangekuwa na njaa hiyo nchi ingekuwa pagumu kuishi
Hakuna tofauti bro elimu now inalipwa majeshi yote wanacho wazidi ni kwamba TPDF Kuna kozi zinalipwa ilo tu na mikopo yao mikubwa basi ila ukikaa na mwanajeshi utajua hamna hela wengi njaa tu wanakopa vibaya hasa wa JKT
 
Yaani mi naweza nikapita mahali sina hela na nina njaa lakini nikimwona mlinzi mawazo hunijia "huyu bwana sijui nimsaidieje"... walinzi wamekaa kifukara sana, pigo flani za njaa njaa sana.
Mimi ndio maana ile kazi naichukia sana yaani hata kama niko Dubai au marekani mtu akiniambia nikafanye kazi ya ulinzi huwa nachukia sana na kumwangalia usoni kwa hasira
 
Naongea kitu nachokijua kwa undani
Sawa.. huyo jamaa namuonaga kwenye nyuzi za TISS mara sijui mossad imefanyaje..

Enough na comment zake ndo hv hv..
Na kuna uzi nilikuta jamaa anamuongelea sema kwa code..

Alisema hv kuna watu humu unaweza sema upo upande nao kumbe wana kulia timming πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa wewe ujui maumivu ya kuminywa korodani kwa ile koleo ya umeme
 
Mimi mwenyewe TISS bhna waaache kuangaika na watakatishaji pesa waje wasumbuke na mimi mlinzi wa soko πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…