unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Kasikilize hotuba ya Rais Mama Samia angalao utakuwa na akili kidogo na utapata angalao mwanga kidogo kujua hii Ni Tz mpya na tunaelekea wapi.Lkn kwa akili hizo za kina Msiba pole ndugu.Hiyo ngoma cheza mwenyewe.
RC wa geita kakosea wapi??10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
Wanatafuta sababu za kununa tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tayari washauri wameanza kazi
Mchuzi wa Mbwa unanyweka bado wa motoMfia chama cdm utamjua tuu.
Huu uzi umeuleta kimuhemuko sana.
Ndo kwanza tuko kwenye maombolezo
Tumbo juto ndugu , udc ndio basi tena .We bwana mbona mjinga sana. Rais Ni mwanachama wa CCM.
Kwa kweliMchuzi wa Mbwa unanyweka bado wa moto
Hatuombelezi, Hapa Kazi tu...........