Hapo kwenye TANROADS hapo wafanye kweli wamejazana ndugu kwenye kazi za contracts kama huna mtu hupati hizo kazi za mikataba10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
Pumbafu.huna ujualo.Mtoa post inatakiwa MDA mfupi ujao uwe umeshafikishwa milembe tukichelewa kidogo unaweza sababisha madhara makubwa nyambafu.
Siyo kila mtu anaomboleza,na siyo wote unaowaona msibani ukadhani wote wanaomboleza.Wengine wanaena msibani kuhakikisha km kweli amekufa.mshaanza kumpangia Mama hata hajaanza kazi hizo bado, hebu ngoja tumalize msiba halafu atatuambia muelekeo upi tunafuata!!!
We bwana mpumbavu sana ,kwahiyo km rais ni mwanachama wa CCM!We bwana mbona mjinga sana. Rais Ni mwanachama wa CCM.
Rais akiwa CCM hapaswi kuambiwa kitu. Kwahiyo pia ukiwa chadema unatakiwa ukae kimya kwasabab Rais ni wa CCM.Shida umesikiliza kwa sikio la CHadema. Je aliposema baba amenilea. Mwalimu anaweza mzidi mwalimu Wake. Unazungumza na kusahau kuwa Rais Ni CCM
Ummy arud afya kwa kwel10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ameumizwa na huu msiba kuliko janeth, sasa hivi anachofanya ni kupiga hela huko hazina maana hajui kama Mama atamuacha huko jikoni.
Kwani ameshawavuruga. Ndiyo utajua hujui. Unafikiri atafanya kazi na watu wote waliowekwa na Magu kwa maslahi yake.Umeongea kinyume baba,hao ni jeshi la mwamvuli la mama samia,
Kumbe watu hawanuni bila sababu.uko poa sana we.Wanatafuta sababu za kununa tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliza kiranga.Mshaanza ujinga. Hii ni sisiemu sio upinzani.
[emoji23]Huyu number tano afukuzwe kazi halafu anyongwe hadharani iwe funzo kwa watu wenye akili kama zake
HUNA hoja dada yangu.Ya kutambua kwamba wewe ndio kiongozi wetu wajinga
We si wa stend kachome hata mahindi stendi.Nitaachaje kuwa na hasira boss wangu kafa.
Kwani anasema awatoe eti hawaleti maendeleo mbona wako huko na maendeleo yapo. Au yeye anataka maendeleo gani
Zaidi ya tumbo lako au familia yako Kuna watu unawapisha,au unawasaidia kwa sababu hawafanyi kazi.Fanyeni kazi zenu mjiingizie vipato vyenu
Yes huyu hafai kabisaDoto James
Rc Mbeya anayeongeaga na Magu umemwacha wapo?Ole sabaya
RC Mtwara
Jerry Muro
Dc Arusha Mjini
RC Singida
18. Mkurugenzi H. Monduli( anashirikiana na mkuu wa mkoa kudhulumu hela za fidia ya mashamba huko Makuyuni)10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.