Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Mke Wa dalali hatokuwa na kiwango halisi juu ya kipato cha mume wake lakini atakuwa anajua mume wangu ni dalali!
Sasa mleta mada analeta mambo ya kufikirika!
Mke wangu hapaswi kujua chochote kuhusu Mshahara na kazi ninayoifanya, full stop hutaki pita hivi rudi kwenu kwani shingapi?
 
Wewe ulieoa unasemaje? Nimekwambia usimwambie mkeo hutaki basi mwambie yakikukuta usiseme hukuambiwa, ni suala dogo sana unabisha mwambie then kunja 4 subiria kinachofuatia
Mke wangu ndio anajua kila kitu 100%, ndoa ni for life sasa unaficha nini
 
Halafu ukianguka kutoka kwenye hilo paa mchongoko wakuzike tu wala wasimtafute waifu


View attachment 3541584
Atajua baadae ila inafahamika ulikua kazini, huwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa nahisi kuna wanaonielewa ila ukiwa na akili zako za kitoto huwezi kunielewa hata kidogo

Ila kuna case ipo huku muda huu na chanzo cha hio case ni hivyo nilivyovielezea, kila kitu anamwambia mkewe yupo bar gani anamwambia mkewe kalala Lodge gani sijui anamwambia mkewe akilala na mwanamke mwingine anamwambia mkewe, akilala hotel gani anamwambia mkewe, sasa fukuto limechemka limekua zito nyumbani hapakaliki, hapalaliki jamaa analazwa kwenye gari lake nje huko nje ya geti kabisa, mwanamke kageuka mbogo, ndio anaambiwa uliyokua unayafanya usingekua unamwambia mkeo unaona sasa yaliyokukuta mwanetu? Wewe kila kitu Wife unajua, kila kitu Wife imekua hivi kila kitu Wife hivi na hivi oya sisi tuna makoromeo wewe acha ungese
 
Msingi wa hayo yote ni nini? Faida na hasara za kujua au kutokujua ni zipi?
 
Mkeo ndio msiri na rafiki yako or else umeoa ilimradi tu! Unamficha mtu material things hakikisha ukipigwa stroke ukaanza jinyea utafute wa kukusafisha!
 
Sasa mwanamke waa hivyo sio wa kuoa, uliza wazee wako watakwambia au kaongee vizuri na Mama yako atakupa full details km mpaka leo anajua baba yako alikua analipwa kiasi gani au alikua anafanya kazi ofisi gani, wake up young lady
Sio suala la kumuuliza mama,Mimi na ndugu zangu wote tunajua Baba alikua anafanya kazi gani na anamiliki nini na nini!
 
Sio suala la kumuuliza mama,Mimi na ndugu zangu wote tunajua Baba alikua anafanya kazi gani na anamiliki nini na nini!
Hujui acha kujitia ujuaji unajua sehemu tu ya kile alichoona ni sahihi kukwambia km mwanae acha kujifanya unajua kila kitu kuhusu Baba yako jambo ambalo sio kweli, nakupinga na utambue unajibizana na Mwanaume sio Mvulana
 
Yaani asijuwe umewekeza wapi na kiasi gani, ukifa Leo mali itaenda wapi watoto wako wateseke Kwa sababu ya ushauri WA kikuda,
kama huwezi kuishi na mwanamke tuachie sisi tunawapa mpaka kadi za benki na password nina miaka zaidi ya ishirni Niko nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…