Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Ni ngumu sana dada ,kuna kitu kabla haujakifanya nafsi na moyo uwa vina tabia ya kuzungumza either ndiyo hapana ,kwangu mtu mweupe kuishi naye sitaweza kwasababu mimi ni mswahili by nature namaanisha nilizaliwa ushuani ila nikakulia uswahilini kiasi kuwa hatuwezi kuendana na huyo mtu hata kidogo ,sipendi kuongeza namba ya idadi nilizooa maana haitakaa sawa .

Bado natafuta Insh'Allah nitampata mweusi mwenzangu
Mungu ni mwema utampata! Sogea kule kwa dalali ujichagulie taraatibu🫴🏾😊
 
Kama mwanaume unaoa, unamiliki mali na unatumia teknik ya kuficha mali, fedha na mshahara basi wewe siyo mwanaume wa kikwelikweli bali ni gumegume.

Umeoa halafu unogopa mke, wewe usije kwenye vikao vya wanaume kabisa.
Unashindwa kujifunza nini? Km huwezi kujifunza hayo yote basi jifunze kwa waliokutangulia anza na Baba yako, Mjomba yako, Baba yako Mkubwa, etc jifunze kwao.
 
Mkuu nina rafiki yangu alikufa 2006 na alikuwa mfanyakazi wa TRA. Unajuwa jinsi hawa jamaa wanavyokusanya mali. Alipoteza duka la hardware Kariakoo lenye thamani si chini ya 500 Milion kwa kuwa aliingia ubia na rafiki, mke hakujuwa. Alipoteza shamba Kigamboni ekari 30 nalo mke hakujuwa, aliyekuwa dalali kwenye ununuzi ndiyo akawa mmiliki mpya.
Hili nimeshatolea ufafanuzi huwajui Wanasheria? Unaishi km upo 1900 hii ni 2026 tafuta Mwanasheria wako, acha kuishi kijima
 
Ni ngumu sana dada ,kuna kitu kabla haujakifanya nafsi na moyo uwa vina tabia ya kuzungumza either ndiyo hapana ,kwangu mtu mweupe kuishi naye sitaweza kwasababu mimi ni mswahili by nature namaanisha nilizaliwa ushuani ila nikakulia uswahilini kiasi kuwa hatuwezi kuendana na huyo mtu hata kidogo ,sipendi kuongeza namba ya idadi nilizooa maana haitakaa sawa .

Bado natafuta Insh'Allah nitampata mweusi mwenzangu
Hujamaliza mkuu,
 
Mwanamke muadilifu lazima ajiridhishe kwamba mtu anayemuoa anafanya kazi halali. Hatataka kufunga ndoa na mtu ambaye kazi yake ni ujambazi au shughuli nyingine haramu!
Upo sahihi, kwani mfano nikisema mimi ni fundi selemala naondoka asubuhi smart kabisa naingia ofisini ila mimi mimi ni fundi wa kupaua na hii kazi mke wangu haijui pia mimi ni fundi wa kuchimba visima mke wangu hajui km nafanya hii kazi mimi mimi ni mtu kudeal na vifaa vya magari na pikpiki yaan gereji ufundi, hivi fanya calculations zako vizuri jioni nikirudi familia inafurahi tatizo lipo wapi? Anakula, anavaa, watoto pia wote wanapishana kwenda chooni nini shida hapo?
 
Atajua baadae ila inafahamika ulikua kazini, huwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa nahisi kuna wanaonielewa ila ukiwa na akili zako za kitoto huwezi kunielewa hata kidogo

Ila kuna case ipo huku muda huu na chanzo cha hio case ni hivyo nilivyovielezea, kila kitu anamwambia mkewe yupo bar gani anamwambia mkewe kalala Lodge gani sijui anamwambia mkewe akilala na mwanamke mwingine anamwambia mkewe, akilala hotel gani anamwambia mkewe, sasa fukuto limechemka limekua zito nyumbani hapakaliki, hapalaliki jamaa analazwa kwenye gari lake nje huko nje ya geti kabisa, mwanamke kageuka mbogo, ndio anaambiwa uliyokua unayafanya usingekua unamwambia mkeo unaona sasa yaliyokukuta mwanetu? Wewe kila kitu Wife unajua, kila kitu Wife imekua hivi kila kitu Wife hivi na hivi oya sisi tuna makoromeo wewe acha ungese
Sasa kwa upuuzi huu kwanini mwanamke asichukie
 
Nimemaanisha uwe na subira utapata 😃

Watoto wana baba yao, sio
Lazima wakuhusu mkuu ndugu yangu😊
Umeona mpaka VERBOSE amecheka maana analijua chaka unalotaka nilibebe ,hao watoto pasina shaka ni wakubwa ,uwa hawakawii kukutimua siku wakiamka vibaya hasa ukikuta ni wakiume mbona nitakuwa nakuja kila siku kulia hapa ,watoto hawanitaki ila mama yao ananipenda 😀😀
 
Back
Top Bottom