Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Na wewe hupaswi kujua vya kwake.Sio lazima kujua kwani nimemlazimisha na mboni km unanisemea au unajisemea mwenyewe, mwanamke hapaswi kujua nilivyovitaja kuhusu wewe km unabisha leo nenda kamwambie hivyo baadhi nilivyokutajia kesho sio mbali utaonyeshwa movie ambayo hujawahi kuiona tangu umuoe, wewe si mbishi fanya hivyo leo nenda kamwambie mkeo full details mshahara wako, malaya unaolala nao, una watoto wangapi huko nje, boss wako anaitwa nani mpe mpaka contact zake, ukiweza Assets zote andika majina yake muonyeshee, etc then come back here and show us nakupa muda mfupi sana wa kujitafakari kabla hayajakukuta
Kama hutaki details zako zifahamike, kwa nini unaoa?
Si ubaki single na details zako?