Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Mambo ya utawala ndio yana anzishaga vita. Ukishaanza kumficha mkeo details zako. Fahamu kwamba umefungua mlango wa yeye kukuficha details zake.

Na hapo muda si mrefu, ugomvi utaanza na mnaweza kuachana.
Sijasema unachosema, nimesema hapaswi kujua sijasema usimwambie, unajua hayo ni maneno mawili tofauti kabisa, nimesema hapaswi kujua sijakwambia usimwambie kwa hio ukimwambia na akajua utajua wewe unamwambiaje ila yakikukuta usiseme haukuambiwa huku uliambiwa hapaswi kujua.

Swali ulilotakiwa kujiuliza au kuniuliza ni kwanini hapaswi kujua? Hili swali hakuna alieniuliza hata mmoja na mimi nitaliacha km lilivyo ingawa nimeshatoa majibu ya kwanini hapaswi kujua sababu ni nyingi na maelezo ni mengi, yote kwa yote elewa tu mkeo hapaswi kujua baadhi ya hizo orodha nilizoziweka kwa afya ya ndoa yako, sasa wewe jifanye kichwa kigumu mjulishe mkeo taja majina ya maex zako muelezee mkeo ulichokua unakifanya na maex zako wewe bwabwaja tu nakupa muda utaelewa jambo
 
Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu, angalau kidogo naeleweka nilimaanisha nini
 
Naendelea..

7. Una kiasi gani cha Pesa kwenye akaunti zako zote za Bank.

Mkeo hapaswi kujua wewe akaunti zako za bank zinasoma kiasi gani? Yaan hapaswi kujua kabisa acha kabisa usiseme wewe fanya kimya, kama atajua basi akaunti moja zingine baki nazo hapaswi kujua, wewe hudumia familia vizuri sio kumtangazia Mkeo kwamba una kiasi gani kwenye akaunti zako za Bank. Hapaswi kujua.

8. Mikopo yako.
Una mkopo/mikopo umekopa Bank fulani fulani, au kwa mtu fulani, umekopa gari, nk Mkeo hapaswi kujua. Wewe malizana na Mkopo wako mwenyewe wewe km wewe sio lazima ukamtangazie Mkeo kwamba umekopa pesa kiasi fulani sehemu fulani Mkeo hataki kujua hilo na hapaswi kujua hilo. Yeye muhudumie habari za Mikopo yako malizana nazo wewe mwenyewe, utamalizana nazo vipi utajua mwenyewe, yeye hawezi kukulipia Mikopo yako hata ukimwambia hawezi kufanya hivyo kamwe labda wewe ndio utaweza kumlipia mikopo yake na atakwambia.

9. Una Hisa zako usimwambie Mkeo. Hapaswi kujua.

Wewe ishi nazo hizo hisa zako hizo ni za kwako sio za Mkeo, hio sio shared partnership kwamba mmeingia ubia wa pamoja kwenye soko la hisa, wewe ndie umeingia kwenye soko la hisa km wewe sio Mkeo, huna haja ya kumjulisha mkeo hapaswi kujua. Hii ni kuepusha migogoro ya hapa na pale na maswali yasiyo ya lazima ndani ya ndoa.

10. Nitaendelea...
 
Hahaha be careful before you open you mouth bro, watch your tongue you might choke yourself without knowing what makes you to do that
Yaani mwanaume mzembe naye anatoa ultimatum, idiot
 
Kaka umeandika kitu muhimu sana sanaa kwetu.

Wengi tumefaidika na haya materials uliyo toa nimejifunza mengi mengi kwenye hii comment

Asante sanaaaaaa ndugu yangu
 
Unamuoa ili awe mkeo sio Secretary wako huyo kwamba kila mgeni anaekuja ofisini kwako yeye lazima ajue, huyo ni mkeo life partner sio business partner, copy?
You're either young or stupid, copy?
 
Go ask your Mama, don't tell me what to write in here and you didn't bring me here, apart from that hukunilipia ada na wewe hukuwahi kunifunza ********!
Ha ha haaa! Well, looks like your mama brought you here through her shithole. That's why you have a turd for brain.
 
Unakaaje na mtu anakuvutia gepu?
 
Ha ha haaa! Well, looks like your mama brought you here through her shithole. That's why you have a turd for brain.
Hujui kuandika, naona napoteza muda wangu na mjinga, get off me stick na mada mezani hayo mengine ni unnecessary hayahusu mada weka kando njoo kwenye mada sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…