Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Angekuwa anataka viti maalum asinge gombea level hiyo. ni upumbavu kutetea ujinga na uhuni huu. Na aliyeshinda viti maalum naye atapewa nini?John Mrema amepewa Segerea ni vizuri, naamini huyo mdada atapewa viti maalum, wacha Mrema akapambane na CCM.
Hamna lolote.Vigezo ni vingi siyo kura za maoni tu
sindio asia msangi unaye ongerea au kunadada mwingine ?Kwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Kwa Mrema wamezingua big time,wamekua wakilazimisha sana Mrema apite sijui ni kwanini.John Mrema amepewa Segerea ni vizuri, naamini huyo mdada atapewa viti maalum, wacha Mrema akapambane na CCM.
Kama hao waislam hawakwenda kucontest unataka wawekwe tu?Naona njia ya msalaba Kama wotee duu ukisema utaanbiwa unaleta udini. Ila Zitto Kabwe alikuja na deligation yake hapa Ina waislam zikaanza foko nyoko.
Sheikh Mohammad Said akieleza makala zake zenye majina ya Kiislam KWAMBA waliongoza katika kupigania Uhuru anaitwa mdini.
Kuna majimbo sijayaona ya Kanda ya Serengeti!
Page #4 na idadi ya majimbo itajaziwa wiki hii na kundi kubwa litakalokatwa huko CCM na mengine yameachiwa ACT wazalendo...kuna page # 4 haipo.
..pia idadi ya majimbo haijakamilika.
Sema ngoja tusubiri orodha ya walioteuliwa kawa RUSHWA wa CCM kupitia wajumbe .Duh! Ngoja tusubiri orodha ya wateule wa CCM.
Watanzania ni walewale, walioko CCM ndio hao hao wako CDM.
Huyo John Mrema si alishindwa kura za maoni ?Chadema hapo ndo mnapoharibu. Kigamboni hamjaweka mgombea ?Au mmewaachia ACT?
Hiyo ya kujaziwa na waliokatwa CCM ni mawazo yako siyo ya CHADEMAPage #4 na idadi ya majimbo itajaziwa wiki hii na kundi kubwa litakalokatwa huko CCM na mengine yameachiwa ACT wazalendo.
Page #4 na idadi ya majimbo itajaziwa wiki hii na kundi kubwa litakalokatwa huko CCM na mengine yameachiwa ACT wazalendo.
ACT watamchukua na atachukua jimboKwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Hata Newala mjini sijaona mtu hapo, Mbunge wetu ni Captain George MkuchikaThe kind of mistakes you would not expect CHADEMA to make..but surprise surprise!!...
Btw sijaona jimbo la Tarime na Rorya. Nadhani list haijakamilika kwa kanda ya Serengeti.
Hata huko ccm wapo walioshinda kura za maoni lkn watatemwaHalafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake