Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

John Mrema amepewa Segerea ni vizuri, naamini huyo mdada atapewa viti maalum, wacha Mrema akapambane na CCM.
Angekuwa anataka viti maalum asinge gombea level hiyo. ni upumbavu kutetea ujinga na uhuni huu. Na aliyeshinda viti maalum naye atapewa nini?
so kumbe wanapeana na sio kuchaguliwa?
 
John Mrema amepewa Segerea ni vizuri, naamini huyo mdada atapewa viti maalum, wacha Mrema akapambane na CCM.
Kwa Mrema wamezingua big time,wamekua wakilazimisha sana Mrema apite sijui ni kwanini.

Mbowe na wenzake wamezingua kishenzi yaani ile kishenzi.
 
Wekeni na list ya watakao unga juhudi katkati ya kampeni, naona Fulani na Fulani wakinunuliwa katikati ya kampeni
 
Kwahiyo Said Kubenea na Ubungo yake ndioo.....
 
Naona njia ya msalaba Kama wotee duu ukisema utaanbiwa unaleta udini. Ila Zitto Kabwe alikuja na deligation yake hapa Ina waislam zikaanza foko nyoko.

Sheikh Mohammad Said akieleza makala zake zenye majina ya Kiislam KWAMBA waliongoza katika kupigania Uhuru anaitwa mdini.
Kama hao waislam hawakwenda kucontest unataka wawekwe tu?

Si wengi wamekimbilia ACT kutoka CUF na wengine wakabaki chama twawala.
 
Kama CCM hawatafanya figisu hapo Bukoba mjini Chief Karumuna anachukua jimbo asubuhi na mapema.
 
Page #4 na idadi ya majimbo itajaziwa wiki hii na kundi kubwa litakalokatwa huko CCM na mengine yameachiwa ACT wazalendo.

..una uhakika cdm watapokea wagombea toka ccm?

..kwa wana-ccm waliotemwa ni bora wakajaribu bahati yao act, nccr, au cuf.
 
The kind of mistakes you would not expect CHADEMA to make..but surprise surprise!!...

Btw sijaona jimbo la Tarime na Rorya. Nadhani list haijakamilika kwa kanda ya Serengeti.
Hata Newala mjini sijaona mtu hapo, Mbunge wetu ni Captain George Mkuchika
 
Ila kuna wakati CHADEMA nao wanazingua sana yaani hata Shinyanga mjini hawajaweka wakati Sisi tunajua aliyeongoza kura za maoni ni Mhe. Makamba. Wakituletea Katambi wakati alishaunga juhudi tunayapa ma-CCM tena! Wasituone sisi wajumbe ni Umbwa!!
 
Halafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake
Hata huko ccm wapo walioshinda kura za maoni lkn watatemwa
 
Back
Top Bottom