and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Vunja vunja atakua anaenda huko na kurudi?Korogwe Kuna umbali gani ? Mbali Simiyu huko Jokate ni jembe anaandaliwa makubwa lazima uzungushwe uijue Nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunja vunja atakua anaenda huko na kurudi?Korogwe Kuna umbali gani ? Mbali Simiyu huko Jokate ni jembe anaandaliwa makubwa lazima uzungushwe uijue Nchi
Kuna ubaya ?Vunja vunja atakua anaenda huko na kurudi?
OkKuna ubaya ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cobra??sjakusoma...Naskia kumbe kwa ‘cobra’ alikuwa mchafu tangu yupo TBC!
Na hii umekosa??ndo basi tenaNimeshinda salama kabisa mkuu
Misheni town wameachwa? karibuni sana vilingeni, sijui ile saluni ya Basila pale Victoria baado ipo?1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siriel Mchembe.
4)Gabriel Zachariah.
5)Jasinta Mboneko.
6)Mathayo Masele.
Alikuwa na saluni yake pale Victoria labda kuna kimemo kilipitia pale kwenye saluni yake.Hivi huyu basila mpaka kupewa udc ilikuwaje kuwaje??
Ova
Sasa atarudi kuwatangaza akina Faru John pale Safari Channel.Zacaharia Gabriel ‘ Nyau’
Mkuu ulivyoandika unamaanisha bado mchawi, andika Mwanga kwa kuanzia herufi kubwa ili kumaanisha kwamba ni jina la wilaya, mwanga na Mwanga ni kitu tofauti labda mwanga ianze mwanzoni mwa sentensi kwa mfano Mwanga ameshikwa akiwanga nyumba ya jirani.Mwaipaya kabaki mwanga
Ameloba step Sana kuwa na Mtu anaitwa vunjavunja. Dah kweli kwenye miti mingi hakuna wajenz ...wajuba tumajaa wenye misumari joka anafuata mitumba aka majinzVunja vunja atakua anaenda huko na kurudi?
Mkuu hujui kwamba ukiwa mkuu wa wilaya unakuwa raisiwa wilaya na ukiwa mkuu wa mkoa unakuwa raisi wa mkoa, hivyo vyeo havina stress yoyote, wenye stress ni makatibu tawala, wakuu wa mikoa kazi zao ni kupiga simu kwa mama kwenye mikutano ya hadhara na kusema wananchi wa huku wanasema 5 tena kwa mama.Tanzania ni ulafi tu na njaa ila nafasi za ukuu wa mkoa na nafasi za ukuu wa wilaya sijui wale jamaa wanazipendea nini kweli hata kama zina hela na marupu rupu lakini ni kazi za stress na lazima uwe mchawi kweli kweli tena kigwagula yaani mtu anaweza amka tu asubuh umeshatumbuliwa.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nakumbuka siku anateuliwa Jerry Muro akiwa pale Mlimani City nje kwenye kikona cha mgahawa wa KFC nilimsikia akiongea kwenye simu akimsimlia mwenzake kuwa atafanya kazi hadi Makonda ataonekana cha mtoto, enzi hizo Makonda akiwa ndio mwenye Darisalama. Sijui ni nani alimpa konekesheni hadi akawa DC wakati ni mmoja wa vijana wa hovyo ,tapeli , mpenda pesa na mpenda sifa, si tunakumbuka akiwa kanjanja alipowarusha juu matrafiki wa Kibaha wakiwa wanazikusanya kwenye mabasi.Kweli kabisa sitashangaa.
Jerry anajua sana siasa za maji taka na kwa ccm ni mtu muhimu sana kwa majira flani.
Imagine kipindi cha magu kampeni ngaramtoni aliyokuwa ametumwa pinda Jerry na sabaya walikuwa wamelewa chakariiii hadi wanayumba na hakukuwa na wakuwafanya kitu na wapo mbele kule
Dustan Kiobya1) Basila Mwanukuzi
2) Jerry Muro
3)Siriel Mchembe.
4)Gabriel Zachariah.
5)Jasinta Mboneko.
6)Mathayo Masele.
Cobra??sjakusoma...
Cobra??sjakusoma...