MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
🫢🙄
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe padre Kitima ni katibu wa TEC kanisa katoliki Tanzania.
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Usifikiri simjui; namjuwa.Huyu ni boss wa Wizara ya usalama wa ndani waliko.polosi wanaodhibiti waleta fujo mahakamani kama wale waliopewa discipline juzi kati.
Mzarau mwiba.
Watanzania hawajui chanzo cha matatizo yao ni kubuni ,mkitaka yaisha labda watoe system..Unaweza usiamini hata Magufuli alikuwa hajui kinachoendelea yeye mwenyewe kawekwa na mfumo.Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Sidhani. Usitegemee hivyo.Muda mfupi tutapokea , maelekezo, kutoka TEC ,ambapo ndio utakuwa msimamo wa Kanisa na waumini nchi nzima
Umetumwa ?Kanisa litakua limefanya kitu cha kipuuzi kukubali kutumika kirahisi
Kinachotafutwa ni kuhusisha kabisa na uvunjifu wa amani… na kuleta panic against the government - it is a basic knowledge
Hii wala haihitaji akili sana
🤔🤔🤔Mchengerwa anaweza
Alitaka kuuvumja ila wakamuwahi!Watanzania hawajui chanzo cha matatizo yao ni kubuni ,mkitaka yaisha labda watoe system..Unaweza usiamini hata Magufuli alikuwa hajui kinachoendelea yeye mwenyewe kawekwa na mfumo.
We are discussing a church clergy’s permitted role in political participation.Use your common sense. That's not the issue in this discussion.
There can never be any justification for any government to do what you are advocating here, whether it involves "religious code of conduct" or not.
Ameshika rungu usimzoeeUsifikiri simjui; namjuwa.
SawaUmetumwa ?
Kwenye hili MTAJUTA
Imenilazimu nisome 'nonsense' yako yote hadi mwisho. Sina lazima ya kujuwa "religious dogma" kujuwa kwamba serikali kama serikali haina mamlaka ya kujitwalia sheria mikononi mwake.Yaani Padre wa kanisa la Catholic Church ana political affiliation ni kwa nchi zisizojitambua tu. Vatican awawezi ingilia huo ugomvi kabisa.
Sad and terrible news! Tumefikia hali mbaya mno ya uhalifu.BREAKING: Padri Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu na watu wasiojulikana. Ameumizwa sana na yuko mahututi. #TanzaniaLeaksView attachment 3321310
🤣 🤣 🤣 🔊Kwa nini msimuondoe kwenye kanisa lenu mbadilishane na Sheikh Mwaipopo??
Watafute wanaonijua vizuri watakwambia sio wa mzaha mzaha hata kidogo.Leo utakuwa umebugia kilevi cha kutisha sana. Achana na ulevi wa aina hii. It's no good for your mental health.
Aren't we talking about the government's involvement in silencing voices that are not in agreement with its actionsby unlawful means?We are discussing a church clergy’s permitted role in political participation.
basi kama wewe "siyo wa mzaha mzaha", natamani sana siku moja tungekutana mahala. Kwa sababu unaudhi sana.Watafute wanaonijua vizuri watakwambia sio wa mzaha mzaha hata kidogo.