Frey hana kiswahili kizuri hivi
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
While some of his statements and the TEC's activities have political relevance and could be interpreted as having political implications, the provided text does not contain specific details or evidence of "openly close association with members of opposition parties"Would you classify Dr Kitima as a neutral clergy who has never overlapped his institutional (Catholic Church) political impartiality.
Can you defend him being a neutral clergy in the court of law based on his openly close association with members of opposition partty?
Tundu lissu ana jeshi Gani? Ule ni mpango wa ccm kumzuia lissu asitoe elimu kwa umma, mtaani hata wanaccm wanasema Ile ni kesi ya kisiasaDuu. Ila huyu Maria Sarungi wa chadema kumbe ana close link na huyu Pad Kitima kulielekeza pasivyo Kanisa la Roman Catholic la Tanzania ku support kufanikisha uhaini wa Tundu Lissu? Kama ni kweli basi ni jambo jema kwani hatutaki yatutokee yaliyotokea Rwanda ambako Kanisa hili lilitumika kwa kiasi kikubwa kuchochea moto uliotokea.
Ile ya kikoloni mbona ilichezewa? Hata hii Iko siku"We unaijua serikali? Serikali haichezewi"
Subiri Bado muda wakoAcha uongo mbona mimi mkatoliki na sijauwawa? Huyo Padre tunamjua ni mwana Chadema ila anajificha tu kwenye upadre hata baadhi ya Maaskofu walishaanza kumshitukia.
Kwa sababu ndiye alikuwa kinara,sasa huoni kila kitu anatajwa Samia na hatajwi DrSasa mbona kelele zilienda kwa JPM tuu?
Too sad to here this.
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
sheitwaani mkubwa.Huyo padri mlevi anapenda wake za watu, hapo msilete siasa.
kwa mfuasi wa Nchimbi, mambo mengine achana nayo.Even so does it justify the mean’s ?!
Jaribu kuficha ujinga wakoJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Sasa unatuletea habari za Canon Law usiyo ijua?.Kwa sababu nimekuwekea vipengele vya Canon law au hata kama sijaweka vyote.
Ni wewe sasa ulitakiwa kunifunza na wengine kwenye jukwaa. Kuwa na upande wa siasa kwenye kanisa ni sawa.
We all learners, hata mimi ni mwanafunzi. Ninaowapa majibu ya hovyo uwa nishajiriidhisha ni mataahira.
Kama wewe unasomo toa, mimi sio mtaalamu wa Canon law.
Iła nachojua kanisa katoliki halina upande wa chama cha siasa.
Be serious hata kidogo,mtu kaumizwa unacheka!Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
It’s about his allegiance.While some of his statements and the TEC's activities have political relevance and could be interpreted as having political implications, the provided text does not contain specific details or evidence of "openly close association with members of opposition parties"
And to classify a him as unequivocally politically neutral and to defend this in a court of law based on specific associations would require a clear legal definition of "neutral clergy" and "political impartiality" within the relevant jurisdiction, as well as concrete evidence regarding the nature.
Wakiripoti wengine wataitwa wachocheziKwa nn Habari kama hizi akina Maria ndiyo wanakuwa wa kwanza kuripoti?nimewaza tu