Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Labda pesa za ushirikinaPesa na furaha hazikai mwili mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda pesa za ushirikinaPesa na furaha hazikai mwili mmoja
SawaLabda pesa za ushirikina
Jidanganye.......tatizo hata huelewi kazi ya Pesa.sio nikipata pesa mimi pesa ninayo tayari
sometimes maisha yanachotaka ni pesa tu kwa mtoto wa mama huwez kuelewa
kwani elon musk alikuambia hana furaha kwa sababu ni tajiri namba moja.Jidanganye.......tatizo hata huelewi kazi ya Pesa.
Elon anakwambia anasikitika Mwanaye kudandia Ushoga na usagaji. Kuna sehemu amekwambia ana furaha sababu ya pesa?
Ndio tatizo lenyewe.Matatizo ni huyo punga tu mengine kawaida
Amesolve mwanaye kuwa Punga? Au hata kusoma hujui?kwani elon musk alikuambia hana furaha kwa sababu ni tajiri namba moja.
kazi ya pesa ni kusolvea problems na obstacles
Pesa hainunui penzi la kweli
Pesa hainunui marafiki wa kweli
Pesa hainunui uhai
Pesa hainunui upendo
Nani ajifariji kwa Elon kuwa na Shoga nyumbani kwake?Maskini sisi kwa kujifariji hatujambo
Maskini huwa wanaamini wakipata pesa matatizo yao yataisja. Wajifunze sasaPesa hainunui penzi la kweli
Pesa hainunui marafiki wa kweli
Pesa hainunui uhai
Pesa hainunui upendo
PESA haikuzuia upungasese wa mwanaeNdio tatizo lenyewe.
Maskini huwa wanaamini wakipata pesa matatizo yao yataisja. Wajifunze sasa