Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

Watu maskini wanaamini matatizo yao yoote yataisha wakipata pesa. Huamini hata kukosa mademu ni sababu ya wao kutokuwa na hela.

Siki ukipata pesa za kutosha utanielewa. Ila kama huna endelea kubisha
Lakini mkuu tuache masihara kidogo pesa inaweza kkupatia Asilimia kubwa ya wanawake ata kama hawakupendi
 
Pesa nzuri huoni inafanya watu wanatakata?Alaaah Kwanza hivi unadhani huyo Elon musk asingekua na Hela angekua kapuku kama ww ungekuta unamtaja ? Suala la huyo punga sese wake ampige Shaba tu mamaee
 
Watu maskini wanaamini matatizo yao yoote yataisha wakipata pesa. Huamini hata kukosa mademu ni sababu ya wao kutokuwa na hela.

Siki ukipata pesa za kutosha utanielewa. Ila kama huna endelea kubisha
Ww hizo hela za kutosha ulisha zipata na ukagundua na ukaona kuwa na pesa unakosa furaha?
Bora kuwa na pesa ambazo hazitakupa furaha kuliko ufukara.
Ufukara ni laana ,sisi ambao tumeshapita kwenye msoto wa ufukara ndo tunaelewa.
 
Pesa😁pesa bwana, sabuni walishasema
 
Attachments

  • Screenshot_20250212_213131.jpg
    Screenshot_20250212_213131.jpg
    222.8 KB · Views: 1
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
Mimi nimeleta taarifa tu ya maisha yake na mahusiano na familia, kwa nini unaita porojo
 
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
🤣🤣
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
 
Watu maskini wanaamini matatizo yao yoote yataisha wakipata pesa. Huamini hata kukosa mademu ni sababu ya wao kutokuwa na hela.

Siki ukipata pesa za kutosha utanielewa. Ila kama huna endelea kubisha
Acha kujifaliji dogo
 
Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:-

1. Wake wa Zamani

Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti:
  • Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja (mapacha na mapacha watatu). Mtoto wao wa kwanza, Nevada, alifariki kutokana na ugonjwa wa ghafla wa watoto wachanga (SIDS). Talaka yao haikuwa nzuri, na Justine baadaye alieleza ndoa yao kama iliyojaa changamoto za kihisia. Alisema alihisi kufunikwa na mafanikio na malengo makubwa ya Musk.
  • Talulah Riley (2010–2012, 2013–2016): Musk alimuoa mwigizaji wa Uingereza Talulah Riley mara mbili. Walifunga ndoa mara ya kwanza mwaka 2010, wakatalikiana mwaka 2012, kisha wakaolewa tena mwaka 2013 kabla ya kutalikiana tena mwaka 2016. Uhusiano wao ulikuwa wa kirafiki zaidi kuliko ndoa yake ya kwanza, na Riley alisema wanaendelea kuwa marafiki.

2. Mwanaye mvulana aliyejigeuza kuwa mwanamke, na kisha kutenga na Elon Musk

Binti wa Elon Musk, Vivian Jenna Wilson, alijitenga naye kabisa baada ya kubadili jinsia. Aliomba rasmi kubadilisha jina lake mwaka 2022 enzi hizo akiitwa Xavier Musk, akisema hataki tena kuhusiana na baba yake. Ingawa Musk amesema uhusiano wao uliharibika kwa sababu ya "itikadi kali za kisasa," inaonekana kuwa kuna sababu kubwa zaidi. Ripoti zinasema kuwa Vivian amekata mawasiliano kabisa na baba yake.

3. Baba yake, Errol Musk

Elon ana uhusiano mgumu na wa mvutano na baba yake, Errol Musk. Amewahi kumuelezea baba yake kama mtu mgumu na wakati mwingine mkatili, akisema kwamba alikulia katika mazingira magumu. Errol naye ametoa kauli tata kuhusu Elon na familia yao. Moja ya mambo yaliyozua mshangao mkubwa ni kwamba Errol alipata mtoto na binti wa kambo wake, jambo ambalo lilimchukiza sana Elon. Ingawa wamekuwa wakizungumza mara kwa mara kwa miaka, uhusiano wao bado haujawa mzuri.
Tatizo lake kubwa huyu pamoja na kuwa na mchapa kazi ila ni mason hapo ndio panapomvuruga.
 
Kuwa na utajiri wa fedha na mali sio kipimo cha mafanikio kwenye maisha......
 
Ana mtoto wake wa kiume ni shoga ..kabadili jinsia kabisa
....
 
Back
Top Bottom