Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

Watu maskini wanaamini matatizo yao yoote yataisha wakipata pesa. Huamini hata kukosa mademu ni sababu ya wao kutokuwa na hela.

Siki ukipata pesa za kutosha utanielewa. Ila kama huna endelea kubisha
Lakini mkuu tuache masihara kidogo pesa inaweza kkupatia Asilimia kubwa ya wanawake ata kama hawakupendi
 
Pesa nzuri huoni inafanya watu wanatakata?Alaaah Kwanza hivi unadhani huyo Elon musk asingekua na Hela angekua kapuku kama ww ungekuta unamtaja ? Suala la huyo punga sese wake ampige Shaba tu mamaee
 
Watu maskini wanaamini matatizo yao yoote yataisha wakipata pesa. Huamini hata kukosa mademu ni sababu ya wao kutokuwa na hela.

Siki ukipata pesa za kutosha utanielewa. Ila kama huna endelea kubisha
Ww hizo hela za kutosha ulisha zipata na ukagundua na ukaona kuwa na pesa unakosa furaha?
Bora kuwa na pesa ambazo hazitakupa furaha kuliko ufukara.
Ufukara ni laana ,sisi ambao tumeshapita kwenye msoto wa ufukara ndo tunaelewa.
 
Pesa😁pesa bwana, sabuni walishasema
 
Attachments

  • Screenshot_20250212_213131.jpg
    222.8 KB · Views: 1
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
Mimi nimeleta taarifa tu ya maisha yake na mahusiano na familia, kwa nini unaita porojo
 
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
🤣🤣
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
 
Watu maskini wanaamini matatizo yao yoote yataisha wakipata pesa. Huamini hata kukosa mademu ni sababu ya wao kutokuwa na hela.

Siki ukipata pesa za kutosha utanielewa. Ila kama huna endelea kubisha
Acha kujifaliji dogo
 
Tatizo lake kubwa huyu pamoja na kuwa na mchapa kazi ila ni mason hapo ndio panapomvuruga.
 
Kuwa na utajiri wa fedha na mali sio kipimo cha mafanikio kwenye maisha......
 
Ana mtoto wake wa kiume ni shoga ..kabadili jinsia kabisa
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…