Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

Ndio

Maama Elon aliachwa tena mara tatu.

Kama.nguvu huna na Mke unmbana bana aisee hawezi kukaa na wewe hata kwa dawa hata umpe bilioni ngapi
Hata Bill Gates naye aliachwa na mkewe. As well na Joseph Bezos
 
Utajiri na mapenzi haviendani ni nadra sana kukuta tajiri amedumu ndoa moja.
Jibu huwezi tumikia utajiri na mapenzi kwa pamoja hizi ni nguvu mbili haziendani maana vyote vinahitaji mda.
Ukiwa bize kutafuta pesa mke atakimbia au ukiwa bize kumaintain ndoa utajiri utakukimbia.
Thus matajiri wengi hawapo vizuri kwenye ndoa.
 
Acha Porojo hakuna asie na matatizo

Pesa haitatui matatizo yote lakini inatatua matatizo mengi sana yanayotusumbua.

Ukiwa na pesa hata figo zikiharibika huna mawazo ya bei ya kubadili, Maskini safari yake imeishia hapo
Ukiwa na hela matatizo unayatafhta mwenyewe.
 
Baba yake anasema elon musk analalamika sana ila ni kati ya watoto wachache waliokuwa wakipelekwa shule na rolls royce.
Anasema ni kati ya watoto wachache waliobahatika kununuliwa hata computer ambapo kipindi hicho computer lilikuwa jambo la ajabu.
 
ili uwe tajiri lzm uwe umepitia hali ambazo zimekufanya ufanye maamiz magumu na matokeo yake ndo huo utajiri , usijifananishe nae kisa unamuona anacheka nje , mwenzio fahari yake ni pesa na sio hao wanafamilia , ww fahari yako ni familia na sio pesa , hata yeye akikitizama kwenye umaskin wako anakushangaa sana unasurvive vp
 
Kama mke wa Pep Guardiola alivyoomba talaka kuachana na mumewe sababu mume yuko busy na Mancity kuliko familia.
 
Baba yake anasema elon musk analalamika sana ila ni kati ya watoto wachache waliokuwa wakipelekwa shule na rolls royce.
Anasema ni kati ya watoto wachache waliobahatika kununuliwa hata computer ambapo kipindi hicho computer lilikuwa jambo la ajabu.
Just imagine mtu amekuwa #1 world billionaire bado anamlaumu babaye kuwa haku provide inavyistahili, li ha ya kupelekwa shule kwa RR. Huyu Elon ana kaugonjwa ka kisaikolojia
 
Hata ingekuwa vipi huwezi kulinganisha maumivu baba aliyezaa CHOKO, na maskini asiye na fedha. Yawezekana maskini ana raha zaidi as long as anapata mahitaji muhimu ya maisha; clothing, shelter, biological neeeds and food
 
Nimekujibu wewe, umaskini unanunua nini?
Umeshinwa kutofautisha Kati ya umaskini na Pesa.

Umaskini Ni dhana
Utajiri Ni dhana
Pesa Ni material thing (artificial)
Unaweza kuwa na Pesa na bado ukawa maskini (au ukaishi maisha ya kimaskini).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…