Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu
Panya road wanalindwa na
polisi
Wanasiasa
Wanaharakati
Jamii

Polisi wakifanya kazi yao, jamii italia, polisi wataacha

Polisi wakifanya kazi yao wanaharakati na wanasiasa wanasema si haki

Polisi wakiamua kuacha liwalo liwe, jamii na hao hao wanasiasa wanalalamika
 
Inawezekana kuna mkono ambao unachochea taharuki hizo.

...hii sio kawaida ya 'wahalifu' au majambazi.

Haya ni ya mipango, wanapanga wapi huo uhalifu.

Hatahivyo sikubaliani na utumiaji wa lugha ya Kimbari-Wahalifu ni wahalifu tu.
 
Panya road wanalindwa na
polisi
Wanasiasa
Wanaharakati
Jamii

Polisi wakifanya kazi yao, jamii italia, polisi wataacha

Polisi wakifanya kazi yao wanaharakati na wanasiasa wanasema si haki

Polisi wakiamua kuacha liwalo liwe, jamii na hao hao wanasiasa wanalalamika
Tutapokea miili mingi kutoka nchi jirani ikielea kwenye viroba huko baharini.
 
Naungana na wewe mkuu hali ni mbaya sana, na hiyo inayotangazwa sijui ambazo hazifiki kwenye taarifa
 
Siku hz mji huo umekua sio salama kwa uzururaji
 
Pole boss hao watoto usiombe kukutana nao. Wanachukua hela, simu, viatu/raba kali, mkanda na MAPANGA LAZIMA WAKUPIGE
 
Kwamba Polisi wameshindwa kazi ? Wawaombe jamaa zao wanajeshi wawape msaada...

All in all this is man made na huu umasikini unavyozidi na gap of have and have nots na kuongezea chuki zinavyozidi kwa walionazo kutokana na dharau ya walamba asali tutegemee the worse to come....
 
Panya road wanalindwa na
polisi
Wanasiasa
Wanaharakati
Jamii

Polisi wakifanya kazi yao, jamii italia, polisi wataacha

Polisi wakifanya kazi yao wanaharakati na wanasiasa wanasema si haki

Polisi wakiamua kuacha liwalo liwe, jamii na hao hao wanasiasa wanalalamika
Wasikamatwe upelelezi ukamilike kwanza
 
Back
Top Bottom