Hizo za hao Panya Road au story za alfu ulela na mambo ya burichekaPicha na video ya story gani mazee 🙄🙄
Nani kaanzisha thread?Hizo za hao Panya Road au story za alfu ulela na mambo ya buricheka
Tutapokea miili mingi kutoka nchi jirani ikielea kwenye viroba huko baharini.Panya road wanalindwa na
polisi
Wanasiasa
Wanaharakati
Jamii
Polisi wakifanya kazi yao, jamii italia, polisi wataacha
Polisi wakifanya kazi yao wanaharakati na wanasiasa wanasema si haki
Polisi wakiamua kuacha liwalo liwe, jamii na hao hao wanasiasa wanalalamika
Mwambie basi awekwe picha na video tuone hilo tukio sio hadithi za sungura na fisiNani kaanzisha thread?
Sijui hawa Panya hawamwoni!!Murilo Jumanne nae atazamwe
Wapo hao wakula siles mbiliHuo mji hauna wanaume?
Naona leo Jo huna cha kuandika kuihusu CHADEMA ama posho imechelewa!?[emoji23]Kwa yaliyotokea Kawe na Temeke hatuna namna zaidi ya kumuombea Mungu wa mbinguni atupe ulinzi wake
Bwana usikie kuomba kwetu!
Wasikamatwe kwanza mpaka Upelelezi ukamilike .Nilimsikia Mtu mmoja akinena hivyoHao washenzi ni kupiga pipe tu.. Wakijichanganya
Ilikuwaje jana?Serikali pamoja na kukusanya tozo nyingi Kwa raia bado inashindwa kutulinda na panya road.
Tozo Zetu mnaiba basi mtulinde na panya road.
Nipo hapa nauguza majeraha ya Jana.
Wasikamatwe upelelezi ukamilike kwanzaPanya road wanalindwa na
polisi
Wanasiasa
Wanaharakati
Jamii
Polisi wakifanya kazi yao, jamii italia, polisi wataacha
Polisi wakifanya kazi yao wanaharakati na wanasiasa wanasema si haki
Polisi wakiamua kuacha liwalo liwe, jamii na hao hao wanasiasa wanalalamika
Awatishe vipi?Mama watishe top kuwa utawatimua utaona panya buku hao wataisha kesho wote