Kukiri kwake kumronyesha uongo wa miaka mingi wa kanisa katoliki kuwa pope is infallable kuwa akiwa papa kwenye kazi zake za kipapa hawezi kukosea
Huyu alikuwa papa kwenye kiti cha upapa na akatetea uovu akiwa kitini
Kukiri kwake kumebomolea mbali ile theory ya uwongo
Nampongeza Papa Benedict kwa kuanika hadharani uongo wa kanisa katoliki
Hizo reliable sources mbona hazijawahi kutamka kwamba mapadri wanafira watoto hadi wengine wanafungwa, uliwahi kuona hizo sources zako zinatangaza padri kafungwa kwa kushikwa analawiti watoto?Al Jazeera, CNN, Washington Post, Newyork Times, BBC na other Western medias hawajawahi kuwa reliable sources kwenye habari zihusuzo Kanisa.
Reliable sources ni Catholic Herald, Catholic Online, EWTN, na nyinginezo kama hizi. Seek right information from the right sources.
Note: Ushoga ni dhambi. Kanisa Katoliki linapinga ushoga na kamwe haliwezi kuruhusu ushoga wala kuchangamana na dhambi nyingine iwayo yote.
Ashakuomba msamaha acha kuleta makuu, mbona una uswahili mwingi.Usije kuwalawiti watoto na wewe huko.. utahadhibiwa tu MKUU na hatutokubali masamaha wako wa kinafki.. si uache huo uasisi uoe Nani? Atakufunga jela.. mnatuharibia watoto tu.. wewe assume mtoto afanyiwe hivyo vitendo kwa miaka yote hiyo ambayo yupo mafunzoni alaf aje kuwa PADRI mnataka mje mtutengenezee kizazi gani! Cha MAPADRI.. kipara tu
Ashakuomba msamaha acha kuleta makuu, mbona una uswahili mwingi.
Alokwambia wanaolawiti watoto ni mapadri pekee ni nani?? Huendi kwa mpalange wewe??
Acheni unafki enyi kizazi cha nyoka, akikosea mwenzio unamnyooshea kidole kama ww una dhambi vile.
Unadhani kuomba msamaha hadharani ni jambo dogo eeh??
Wewe na hii id yako feki huwezi kuomba msamaha japo hatukujui.
Mimi binafsi nampongeza ni jambo la kishujaa sana.
Sio hasirudie ni asirudie.Kipara.. umeng’ang’ania sana hii ID na una wasi wasi nayo hilo ni jina langu tatzo sijaweka ubini ndio inakusumbua.. kipara unazingua ..basi tushasamehe.. piga nae story hasirudie basi atatuzalishia MAPADRI miyayusho
Sio hasirudie ni asirudie.
Sina shida na ID yako, huo ulikua ni mfano tu kuonesha kwamba yeye ni muwajibikaji, ameona kosa, kakiri na kaomba msamaha bila shuruti. Ni jambo jema na kusifiwa na kuigwa na wenye akili kama mimi.
Niishie kusema,
Una mbongo ndogo sana dogo.
Pale mwanzo nikakuuliza, je wanaolawiti watoto ni mapdri pekee!!? Ajabu kabisa hujajibu.Kipara ..wakiendelea kuwalawiti watoto watatuzalishia MAPADRI sio ridhiki na huu utakuwa mchezo tena na sio makatazo.. kipara haelewi au ndio akili nywele
Pale mwanzo nikakuuliza, je wanaolawiti watoto ni mapdri pekee!!? Ajabu kabisa hujajibu.
Hizi habari zinakuzwa ni kwasababu ya ukubwa wa hii taasisi. Na si ajabu hao mapadri wanaofanya hivyo sio wengi kama ambavyo watu baki wanafanya..
Vitendo hivyo vinapingwa na wakibainika hupewa adhabu.
Kama hii ID ni jina lako nakushauri ubadili uweke jina feki walau kuficha ujinga wako mkuu hii forum hupitiwa na wengi, wanao wakija kuona uhoro unaotapika hapa ni aibu.
Kosa lake ni kubwa zaidi, kutetea muovu ni sawa na yeye pia kuwa muovu,,, vuta picha Kama ungekuwa muhanga wa jambo hilo, halafu jitu linamtetea aliyetenda dhambi hiyoIngawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.
Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Hizi dini zingine yaani kiongozi mkuu anaongea uongo kumtetea mfirajiPapa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
inasikitisha sana kwa kweliLichafuke mara ngapi tena kanisa letu? Hilo ni zaidi ya dampo la uchafu na ndimo hutoka mauchafu mengine yote makubwa kwa madogo. Nikipata kanisa la kuaminika, siwezi kushea paa moja na hawa wadanganyifu! Hawafai hata nukta kukaa nao karibu wala kuwavumilia!
Eti anaitwa baba mtakatifu😂😂😂.Baba mtakatifu..
Kosa lake ni kubwa zaidi, kutetea muovu ni sawa na yeye pia kuwa muovu,,, vuta picha Kama ungekuwa muhanga wa jambo hilo, halafu jitu linamtetea aliyetenda dhambi hiyo
Kumbuka kinachoongelewa hapa ni Sexual abuse--- Ebu muweke yule kijana wako wa kiume kwenye hii scenario, kwamba baba padre wako ndo amefanya abuse, halafu matendo ya baba paroko wako yakasababisha wewe na kijana wako msipate haki yenu--- Halafu rudi uje uandike tena!Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.
Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Thats why i stopped believing these things for years.. Dini ni aina nyingine ya siasa.. Kila kitu ni fiction tu!Eti anaitwa baba mtakatifu😂😂😂.
Tena wanasema baba mtakatifu utuombee, baba mtakatifu amesema hivi.
Yaani jamaa akitoka kulawiti mtoto anatoa matamko na waumini wanashangilia baba mtakatifu kasema hivi.
Hicho kituo cha aljazeera kina mpk wakristo na wayahudi wanafanya kazi.Kituo cha luninga ambacho hata kwenye baadhi ya nchi za Waarab wenzao mfano Misri, Saudi Arabi, nk. Kimepigwa marufuku!
Kituo kinacho unga mkono wazi wazi vikundi vya kigaidi na ugaidi kwa ujumla kupitia kibuli cha dini.