Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Serikali ilitakiwa kupiga matufuku madhehebu ya dini toka kipindi cha awamu ya kwanza na kuendelea ......madhehebu ya dini ni cheni ya upumbavu na uhuni ulio tukuka....ni kosa kubwa sana ...KURUHUSU AU KUWA NA MADHEHEBU KWENYE NCHI YOYOTE ILE ....HII NI AKILI KUBWA SANA KUTOKA KWANGU
 
Hakuna kubariki ila anaweza kutoa baraka wakatoliki mkafrn! Ok sawa.
 
Vipi kuoa kwa mapadre na masista kuolewa? Si nidhambi ama?
Vipi ndoa ya mke zaidi ya mmoja bado ni dhambi?
Yaan natamanigi ningekuwa na rafiki ni โ€˜nunโ€™ nimuulize kweliii kipochi hakijawahi guswa? Ovulation na b4 period ile mihemko unaishije? Yaan yan ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mungu nisamehe mimiโ€ฆ
 
kwa hapa bongo bado sana! Unadhani ni padri gani mbongo atafungisha ndoa ya mashoga na masagaji kwa sasa? Ikitokea itabidi tukajazane kanisa hilo tukashangae tu wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake wakifungishwa ndio kama hakutakuwa na ulinzi wa polisi tutafanya fujo hiyo ndoa ya ajabu isifungwe
 
Hizi dini kwakweli ukikaa chini ukatafakari unaweza conclude kuwa ni dini za mchongo haswaa zilizoletwa na wakoloni na wazee wa karafuu
Mnazoeshwa kwanza na hali kwa tungo tata itafika muda yataachiwa na hakuna mtu ataona kama ni ttz
 
Ila wazinzi, wezi, majambazi ndo wakatolikii wa kweli? Poleeee wee.
Tena mtokee harakaa sanaa, mfyuuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huko katoliki mnabariki wazinzi, wezi, majambazi, na sasa mmeamua kubariki wafiraji/rwaji?
 
Hata usihofu kuwaza hivyo , sisi tunaofanya nao kazi wengi wao inatulazimu kunyamaza tu, ila wale wa dada kuna namna wanaishi na mtindo wa maisha zao huko kwenye nyumba zao mihemko haipandi kabisa, pia kuna shule wanasoma namna ya kuhandle hio situation. Depal
 
Uko vizuri, mkristo wa kawaida angeshanitukana kitambo.

ila mada ngumu hii kwa kweli, kila mtu ana maswali
Unajua zamani wakati wanatoa sadaka za kafara hekaluni kuna ishara huwa zilikuwa zinatokea wanatoka hapo wanafahamu kabisa kwamba either sadaka imekubaliwa au imekataliwa, kuna kuwa na relief flani moyoni.

Sasa hv tupo kweny new testament hamna hilo jambo, unaomba tuu then unabaki unaamini umesamehewa, inakuwa kama "Sintofahamu" ni ngumu kweli kwa mtu mweny imani ndogo.

New testament inahitaji msuli wa imani, ndo maana yesu akasema "Tangu enzi za yohana mpaka sasa ufalme wa mbinguni ni wa nguvu na wenye nguvu wataurithi"

Alichoomaanisha hapo ni kwamba, sawa hamtakuwa na burden ya kuchinja kondoo na kutoa sadaka za kafara, mm nitafanyika kafara lakini mtakula chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ