Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
mkuu katika hili catholic Hatuna cha kujitetea kuukubali Ushoga kidogo kidogo ni njia tu huwezi kuanzia kumfundisha mtoto herufi mwambatano wakati hajui irabu a mpaka uUmemlisha maneno, kasema wanaweza kubarikiwa hata kama anajihusisha na mahusiano ya jinsia moja ni kama kusema unabariki walevi, wasengenyaji, wezi maana ni baraka tu ila sio kwamba kuna tukio rasmi la kubariki ndoa.
This is fake news sijui Jamiicheck imelala
ilianza kuto wazuia kwenda kanisani
ikaja kuwaruhusu kuwabatiza
imekuja kuwabariki means ndoa imeruhusiwa kwa maneno mengine
am very ashamed to be part of this
I used to be proud of being Rc but not anymore we lost our way