Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

We dada acha dharau, "Straight Uchwara" unamaanisha nn??

Zulu man au umesoma harakaharaka bila kumuelewa huyu dada kamaanisha nn??

cocastic hizi mada naonaga unazichangamkiaga sana, ni kama vile una support flani ivi kwa kujificha kinafiki.

UNAFELI.
Namuelewa vizuri huyo yaan akitoka Papa anafuata yeye(Young papa)🤣

Yeye na Papa hawana PAPA.
 
Sema katoliki wanafanya biashara huu upuuzi huwezi kuukuta kwa waislamu
baada ya ukatoliki unafuata uislam, tena waislam tayari wameshana kwenye mitego ya ushoga na usagaji hawachomoki, afadhali ya wakristo wengi hawatanasika na mitego hiyo wanaijua tangu karne nyingi ipo ndio maana wakristo wana madhehebu mengi yanamchanganya shetani ashambulie wapi hajui. Kapiga kwa waangalikana, wakatoliki huku wengine wakikimbilia kuabudu sehemu salama. Uislam hauna altenative way ukipigwa pigo moja tu unakufa forever na hautainuka tena duniani
 
kwa hapa bongo bado sana! Unadhani ni padri gani mbongo atafungisha ndoa ya mashoga na masagaji kwa sasa? Ikitokea itabidi tukajazane kanisa hilo tukashangae tu wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake wakifungishwa ndio kama hakutakuwa na ulinzi wa polisi tutafanya fujo hiyo ndoa ya ajabu isifungwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndoa wafunge wengine, wee ukafanye fujo inahusuu? Umevurugwaa au?
Poleeeee
 
Kwani huko katoliki mnabariki wazinzi, wezi, majambazi, na sasa mmeamua kubariki wafiraji/rwaji?
Utajua hujui, mbna hawa hawapigiwi kelele na kanisani wanaingiwa km kawaaa,
Ndoa ya jizi halali, ndoa ya wazinzi halali, ndoa ya majambazi halali.

Ila mashoga ndo nongwaaa, poleeeee
Safariii hii had msemeee, na mtasemaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nimesema tuko mwishoni
Ila hakuna ajuae siku wala saa!
Ila tuko nyakati ya 7, kanisa la 7!
Ss ni lini sijui [emoji1745]

Ni anytime,usijipe matumaini kwamba Bado sana ndo maana tumeambiwa tukeshe,tujiweke tayari
Labda!
Ila amini sio leo wala kesho
 
Ndoa ni kati ya mtu mume na mtu mke fullstop, hayo ndiyo mafundisho tanzu ya kanisa katoliki tangu karne ya kwanza. Epuka matapeli.
That’s marriage, a blessing of same sex couple.

Bado nasoma natengeneza maswali yangu.
 
Wee tokaaa nenda huko unakoona ni sawa, mbna kadrinali alifurushwa aende huko kwenye afadhari.

Pope hana muda wa kubembeleza watu km nyinyi, na safarii hii mtajutaaa kumfahamuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pope ongeza spidi, ushogaa kwa kwenda mbeleeee, tumechelewa sana.
Ila we jamaa bwana!
Bahati nzuri ni nyuma ya keyboard
 
Yaan baba angu hata aje anioneshe basha wake, mie poa tyuuu si ametaka mwenyewe kuukalia, mie ndo nimzuie? Kwan anatumia mwili wangu au wakee?

Mbna unataka kupangia watu maishaa, kwemaaa??
Sio kwema hata kidogo kwa mtu kama mm ambae ratiba yangu jumatatu mpaka ijumaa saa 12 na nusu ni lazima kua kanisani kabla ya kuingia kazini

Kama kwako ni sawa hicho kitendo wakafamyiwa baba kaka au mwanao basi wewe ni binadamu mwenye inner peace hongera coca

But sometimes I wonder is it really ur female? Oooh ur shemale hahaha just kidding
 
Namjua ni mtetezi mkuu wa LGBT ngoja tuone Kama atajibu Kama atafurahishwa baba yake akiwa ndani ya shera anaolewa na mwanaume mwingine
Nimesha kujibu mbna, na sijaanza leo kulijibu hili humi ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii italeta utata na changamoto kubwa sana kwa waumini na wafuasi wake.
 
We dada acha dharau, "Straight Uchwara" unamaanisha nn??

Zulu man au umesoma harakaharaka bila kumuelewa huyu dada kamaanisha nn??

cocastic hizi mada naonaga unazichangamkiaga sana, ni kama vile una support flani ivi kwa kujificha kinafiki.

UNAFELI.
[emoji304][emoji2524]‍[emoji304] 4reveeeerrrrrrrrr!!!!!
 
RC Kanisa la kimafia, Kanisa hatari sana linalofanya kazi ya Shetani.

Leo hii vita ya URUSI Ukraine,
Vita ya Wayahudi -Warabu,

Mizozo yote Dunian ni Kwa sababu ya Hili Kanisa !!.
 
Back
Top Bottom