Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Wanatoka Ulaya kula kulana kwenye Hoteli za Zanzibar

Lazima mliwe baba Mtakatifu kasema😁😁
Umejuaje? Usikute na wewe ni wale wale.
 
Naona mko kwenye Kampeni ya kupotosha kwenye hili la papa...hivi mashoga wote huko mwananyamala, kinondoni, tabata, zenji etc , wametengwa na jamii au jamii inashirikiana nao kwenye mambo mbalimbali? Kwa uelewa wangu viongozi wa dini huwa wanatembelea hata wafungwa waliofanya mabaya sana na kuwapa baraka
Acha kujifanya mpotoshaji na kiji degree chako cha mchongo

Kauli za kiongozi wako mkubwa wa kanisa anathibitisha kua anabariki msiishie tuekufumuana marinda kimya kimya bali muoane kabisa

Sasa ni aidha utafute mwanaume uoe au utafute mwanaume uolewe (it's always a choice)
 
Kubarikiwa ni kama kuombewa tu, papa kasisitiza kanisa ni kwa ajili ya wenye dhambi wanaokuja kutakaswa so hawafukuzwi bali wanabadilishwa.

Najua lugha ni tatizo ila soma hii excerpt
“When people ask for a blessing, an exhaustive moral analysis should not be placed as a precondition for conferring it,” the declaration, authored by Cardinal Fernandez and another official, states. “The grace of God works in the lives of those who do not claim to be righteous but who acknowledge themselves humbly as sinners, like everyone else.”

Source: CNN News
Weka uwezekano kuwa unaandaliwa kisaikolojia kuhusu hilo jambo na kuna siku litahalalishwa. Kama si kwako basi kwa kizazi kinachofuata.
We hujiulizi kwanini hili suala linajirudia rudia kwa ukakasi unaohitaji ufafanuzi wa ziada?
 
Hii si mara ya kwanza. Mmeshamsingizia mengi sana huyu kwamba kayasema..!! Endeleeni
Kwanini kila mara asingiziwe yeye tu. Kuna jambo linatengenezwa kuhusu ushoga na katoliki. Huenda halijafanikiwa bado ila lipo.
 
images.jpeg
 
Nionyeshe kweny bible wapi wameandika kubariki ndoa za jinsia moja!?
Hakuna mahala ambapo dhambi imehalalishwa kwenye Biblia. Na hakuna andiko ambalo linasadifu kuwa sikiliza maneno na usifuate matendo. Yesu alisema MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO na siyo kwa maneno yao.

Hivyo ulipaswa kujibu swali langu kuhusu andiko linalotuelekeza tufuate maneno na siyo matendo.


Theory ya Kikombe, Yesu alisema hivi, safisha ndani ya kikombe kwanza ili nje nako kupate kuwa safi.

Siungi mkono ndoa za jinsia moja. Lakini napinga sana kuzungumza uongo kuhusu Biblia
 
Mods wa jf hivi mkoje nyie? Taarifa imenukuliwa na vyanzo rasmi kutoka Vatican na Wala sio mara ya kwanza Kwa Papa Francis kuleta mabadiliko yanayohusiana na Ushoga ikiwemo Kumtimua Askofu aliyekuwa anapinga.

Sasa nataka kufahamu mlifuta mada niliyoanzisha Jana Kwa kunukuu taarifa rasmi kama ilivyoripotiwa na The Citizen Kwa sababu zipi hasa?

View: https://www.instagram.com/p/C1AHCA1IvVs/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

On top of that mlifuta mada niliyonukuu kutoka Millard Ayo kuhusu Serikali kutangaza nafasi za kazi Kwa wanaotaka kwenda Saudia nayo mkafuta Kwa nini?

View: https://www.instagram.com/p/C1APjjyCoIf/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Swali Kwa mods wa jf,Je hivyo vyomba vya habari sio credible source kwamba nyie hamvitambui ama?

Je mnaweza kuniambia nimevunja kanuni ipi ya jukwaa lenu?

Mkuu ChoiceVariable mada yako haijafutwa bali imeunganishwa na thread hii Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja


Halafu ikapelekwa jukwaa la "International forums"
 
Ona hili linafiki lingine na mikobazi yake miguuni!

Kwa hiyo unataka kusema kwenye hiyo dini yenu hamfukuani? Yule Afande Rama ni Mkatoliki? Wale mashoga waliokufa miaka mingi iliyopita Anti Ali, Anti Bilal, na wengineo wengi walikuwa ni Wakatoliki? Wale mahabusu waliofukuana kule Zanzibar ni Wakatoliki? Wale walimu wa madrasa wanao walawiti watoto kila siku na kuhukumiwa vifungo magerezani, ni Wakatoliki?

Nahitaji majibu.
TAFUTA BWANA WEWEEE UKABARIKIWE KUBWA LA MAKUBWA YOTE YA KIKAFIRI BAADA YA YESHU LIMEISHA SEMA MTAFUTE MABWANA UKABARIKIWE UNACHELEWA NINI WEWE EWE KAFIRI!!!
 
Back
Top Bottom