TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
CNN ni fake NEWS, alisema Trump. Hapa namuunga Mkono Trump nikiamini yupo Sahihi.Hatimaye Kanisa katoliki kupitia Papa Francis leo December 18 ameruhusu ubarikiwaji wa ndoa za jinsia moja.
Maana yake ni kwamba kuanzia sasa mashoga watakuwa wanaenda kanisani kufunga ndoa.
Wakatoliki wa kibongo na washauri mtoe tamko la kupinga haya mambo la sivyo tutajua na nyie mnaunga mkono.
View attachment 2846355
What a tragedy!! Kwa kanisa hili! With all brains they have....! Wanafikia maamuzi haya kweli?