Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Umejuaje? Usikute na wewe ni wale wale.
 
Acha kujifanya mpotoshaji na kiji degree chako cha mchongo

Kauli za kiongozi wako mkubwa wa kanisa anathibitisha kua anabariki msiishie tuekufumuana marinda kimya kimya bali muoane kabisa

Sasa ni aidha utafute mwanaume uoe au utafute mwanaume uolewe (it's always a choice)
 
Weka uwezekano kuwa unaandaliwa kisaikolojia kuhusu hilo jambo na kuna siku litahalalishwa. Kama si kwako basi kwa kizazi kinachofuata.
We hujiulizi kwanini hili suala linajirudia rudia kwa ukakasi unaohitaji ufafanuzi wa ziada?
 
Hii si mara ya kwanza. Mmeshamsingizia mengi sana huyu kwamba kayasema..!! Endeleeni
Kwanini kila mara asingiziwe yeye tu. Kuna jambo linatengenezwa kuhusu ushoga na katoliki. Huenda halijafanikiwa bado ila lipo.
 
Nionyeshe kweny bible wapi wameandika kubariki ndoa za jinsia moja!?
Hakuna mahala ambapo dhambi imehalalishwa kwenye Biblia. Na hakuna andiko ambalo linasadifu kuwa sikiliza maneno na usifuate matendo. Yesu alisema MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO na siyo kwa maneno yao.

Hivyo ulipaswa kujibu swali langu kuhusu andiko linalotuelekeza tufuate maneno na siyo matendo.


Theory ya Kikombe, Yesu alisema hivi, safisha ndani ya kikombe kwanza ili nje nako kupate kuwa safi.

Siungi mkono ndoa za jinsia moja. Lakini napinga sana kuzungumza uongo kuhusu Biblia
 
Mkuu ChoiceVariable mada yako haijafutwa bali imeunganishwa na thread hii Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja


Halafu ikapelekwa jukwaa la "International forums"
 
TAFUTA BWANA WEWEEE UKABARIKIWE KUBWA LA MAKUBWA YOTE YA KIKAFIRI BAADA YA YESHU LIMEISHA SEMA MTAFUTE MABWANA UKABARIKIWE UNACHELEWA NINI WEWE EWE KAFIRI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…