TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
CNN ni fake NEWS, alisema Trump. Hapa namuunga Mkono Trump nikiamini yupo Sahihi.Hatimaye Kanisa katoliki kupitia Papa Francis leo December 18 ameruhusu ubarikiwaji wa ndoa za jinsia moja.
Maana yake ni kwamba kuanzia sasa mashoga watakuwa wanaenda kanisani kufunga ndoa.
Wakatoliki wa kibongo na washauri mtoe tamko la kupinga haya mambo la sivyo tutajua na nyie mnaunga mkono.
View attachment 2846355
Uamuzi mzuri sana huu, wapenzi wa jinsia Moja wana haki ya kupendana na kuishi kwa uhuru
Sasa tukiwaambia hao jamaa ni wapinga kristo utabisha ?Hakuna mahala ambapo dhambi imehalalishwa kwenye Biblia. Na hakuna andiko ambalo linasadifu kuwa sikiliza maneno na usifuate matendo. Yesu alisema MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO na siyo kwa maneno yao.
Hivyo ulipaswa kujibu swali langu kuhusu andiko linalotuelekeza tufuate maneno na siyo matendo.
Theory ya Kikombe, Yesu alisema hivi, safisha ndani ya kikombe kwanza ili nje nako kupate kuwa safi.
Siungi mkono ndoa za jinsia moja. Lakini napinga sana kuzungumza uongo kuhusu Biblia
Wamefanyeje? Mama zao walibakwa na shetani wao ndo wakazaliwa🤣🤣🤣🤣.Kweli kaka msiwachukie kisa dini, ndo wamezaliwa ivyo
Tatizo kubwa la watu ni kutoelewa na kupenda kupindisha ukweli kuwa uongo na kutoushughulisha ubongo kutaka kuelewa kipi ni kipi ndio maana hata Yesu hawakumuelewa kabisa na hatimae walimuuwa kwa nini alikaa na wanyang'anyi na wazinzi na hakuchagua kukaa na makuhani na viongozi wa dini hili hatujiulizi zama hizi ni za mwisho kazi ya viongozi wa dini ni pamoja na kubariki haijalishi umefanya/unafanya dhambi gani na pia kukuongoza njia ya haki ni ipi na sio kukukimbia hakutakuwa na suluhisho acha watu watafsri wanavyoona wao lakini hawaelewi Mungu alimuacha shetani kwa makusudi gani na hakumwangamiza sio kwamba alishindwa Binafsi i concur with Pope na sio maana ndoa ya jinsia moja naisapoti hao wanaoshabikia na kujifanya kusema wanaosema ndio machampion kwa hayo matendo mabaya nasema siku yatakapowekwa wazi siku ya hukumu midomo itakuwa wazi...Source: AP News
Ndugu yanguSasa tukiwaambia hao jamaa ni wapinga kristo utabisha ?
Tatizo lenu nyie mnamuona kiongozi kama Mungu hadi kwenda kutubu dhambi kwa binadamu ,huo mnaofanya ni ushirikina mamlaka ya Mungu mnampa binadamu.
Ungekuwa unayajua makusudi ya Mungu wala usingesema haya.Huyu mtu sijui walimpata wapi. Wafanye hima wamtengue na nafasi yake aichukue ama Cardinal Arinze au yule mfilipino Luis Antonio Tagle .Kanisa linahitaji kuongozwa na kiongozi kutoka Afrika au Asia
Kazi kwao sasa washapewa go ahead na mkulu mkulu wao 😀😁😁😁😁 Wamerudi kivingine
CASFETA imekufanyia nn hata kuwatukana watoto wa MunguMiongoni mwa madhehebu ya hovyo ya wakristo...kuna lengine linaitwa casfeta
Tutahakikisha tunayaondoa hata kwa dua
ALLAH AKBAR
Ngoja utukanwe uitwe gaidiSasa tukiwaambia hao jamaa ni wapinga kristo utabisha ?
Tatizo lenu nyie mnamuona kiongozi kama Mungu hadi kwenda kutubu dhambi kwa binadamu ,huo mnaofanya ni ushirikina mamlaka ya Mungu mnampa binadamu.
Kule Zanzibar nyie na waarabu ndiyo kazi zenuMADA ZA KIJINGA KIVIPI ILI HALI KIONGOZI WAKO PAPA AMETOA RUKSA MCHEZEANE MAVI??
WEWE KAFIRI NAMNA GANI WEWE,HABARI YA KUPAKUANA MAVI ILIYOPATA BARAKA YA PAPA WEWE UNAITA YA KIJINGA TENA??
TAFUTA BWANA CHAP MUENDE KWA CARDINAL PENGO MKABARIKIWEEEE
Ona hili linafiki lingine na mikobazi yake miguuni!
Kwa hiyo unataka kusema kwenye hiyo dini yenu hamfukuani? Yule Afande Rama ni Mkatoliki? Wale mashoga waliokufa miaka mingi iliyopita Anti Ali, Anti Bilal, na wengineo wengi walikuwa ni Wakatoliki? Wale mahabusu waliofukuana kule Zanzibar ni Wakatoliki? Wale walimu wa madrasa wanao walawiti watoto kila siku na kuhukumiwa vifungo magerezani, ni Wakatoliki?
Nahitaji majibu.
Tatizo Si kubadili kiongozi,Kardinal Tagle n mtu sahihi sana kuja kurithi nafasi ya papa.
NA BADOOO,YAANI BADO HAMJASEMA,,TUNATAKA HADI MSEMEE,,RUKSA IMETOKA SASA VIPI USHAPATA BWANA WA KWENDA KUCHEZEANA NAE KINYESI??TEH TEH TEH,.HALELUYAAAAHH...TEH TEH TEHKule Zanzibar nyie na waarabu ndiyo kazi zenu
Zanzibar ndiyo ujinga wenu huoNA BADOOO,YAANI BADO HAMJASEMA,,TUNATAKA HADI MSEMEE,,RUKSA IMETOKA SASA VIPI USHAPATA BWANA WA KWENDA KUCHEZEANA NAE KINYESI??TEH TEH TEH,.HALELUYAAAAHH...TEH TEH TEH