Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis anasema watu kubarikiwa hakuhitaji "ukamilifu wa kimaadili"

Saa 1 iliyopita

Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.

Source: BBC swahili na Israel news
 
Huyu mwamba atakuwa wakala wa shetani ndani ya kanisa na kibaya zaidi inaonesha yeye ndio mwenye kauli ya mwisho, ukipingana nae unaenda na maji.

Kanisa limeshakufa, kule ulawiti wa wtatoto watumikiaji, hapa ndoa za jinsia moja kubarikiwa/fungwa kanisani, pale usioe mke zaidi ya mmoja n.k
 
Mark of the Beast In control 😀😀
 
Hii ni taarifa ya uwongo, tuwe tunasikiliza vitu na kuelewa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…