Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Sidhani kama ni msimamo wa kanisa. Itakuwa ni msimamo wa Papa Fransis mwwnyewe.
Kanisa katoliki, kama kanisa likiruhusu huu usenge ndio mwisho wao, watatueleza nini tuwaelewe.?

Huu sasa ndio mwanzo wakurudi kwa miungu yetu tuliyokuwa tukiabudu kabla ya hizi dini za majahazi hazijaletwa.

RUWA mangi ngakuterewa, tulikukosea sana kukuacha na kufuata hii miungu iliyoletwa na majahazi.
 
Hayo ya wakatoliki sie wakristo wengine inatuhusu nini? Katoliki kuruhusu ushenzi huo haituhusu wale ni mashetani na biblia inawajua. Watakimbiwa na waumini sooni watabaki na mashoga/wasagaji wao wajisalie wenyewe huko. Uasi umezidi sana
 
Hayo ya wakatoliki sie wakristo wengine inatuhusu nini? Katoliki kuruhusu ushenzi huo haituhusu wale ni mashetani na biblia inawajua. Watakimbiwa na waumini sooni watabaki na mashoga/wasagaji wao wajisalie wenyewe huko. Uasi umezidi sana
Nakazia
 
Mungu ndo anaruhusu haya yote, asingetaka angezuia, ipo ndani ya uwezo wake.

Hii sintofahamu inaonesha kabisa dini zimejengwa juu ya uongo, ila hamtotaka kuona hilo, mnanyosha vidole tu
He has the will and power to interfere in everything, but he can't interfere in everything.

Sometimes kumjua mungu inahitaji hekima mdogo angu, sio kila kitu utumie common logic, think outside the box, mungu ana interfere sana kweny mambo yetu lakini hatumpi credit(kama wewe na ideology yako ya "Mungu Mantiki") ila asipo interfere tunaanza kumkejeli.

Gen Z wanasemaga "Let him Cook"
 
Sisi tumeshastuka,

Tunajitofautisha nao Kwa kurudisha IBADA Jumamosi kama Kanisa la kwanza.

Ninyi subirieni mtakapoletewa Padr shoga ndo mtajua.
Kuabudu siku ni torati, iwe jumamosi jumapili ama ijumaa issue ni kumuabudu Mungu, mamo ya kusisitiza siku kuliko kumsisitiza mungu nayo ni ibada ya sanamu.
 
Hatimaye Kanisa katoliki kupitia Papa Francis leo December 18 ameruhusu ubarikiwaji wa ndoa za jinsia moja.

Maana yake ni kwamba kuanzia sasa mashoga watakuwa wanaenda kanisani kufunga ndoa.

Wakatoliki wa kibongo na washauri mtoe tamko la kupinga haya mambo la sivyo tutajua na nyie mnaunga mkono.

View attachment 2846355
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakatae wana uwezo? Unamjua Pope? Nguvu yake je?
 
Back
Top Bottom