Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Kuabudu siku ni torati, iwe jumamosi jumapili ama ijumaa issue ni kumuabudu Mungu, mamo ya kusisitiza siku kuliko kumsisitiza mungu nayo ni ibada ya sanamu.
Siku ya Saba ni kumbukumbu ya Kuumbwa Kwa Ulimwengu,

Hivyo kamwe hiyo Si IBADA ya sanamu.
 
He has the will and power to interfere in everything, but he can't interfere in everything.

Sometimes kumjua mungu inahitaji hekima mdogo angu, sio kila kitu utumie common logic, think outside the box, mungu ana interfere sana kweny mambo yetu lakini hatumpi credit(kama wewe na ideology yako ya "Mungu Mantiki) ila asipo interfere tunaanza kumkejeli.

Gen Z wanasemaga "Let him Cook"
Anajua kila kitu,

Kama hana mpango wa kuingilia kitu anajua, na anajua matokeo yake. Si lazima ajue kila kitu?

Siwakosoi kwasababu mnachukia ushoga, nawakosoa mnavomlaumu huyo mzee utafikiri kanisa ni la huyo mzee

Ongeeni na Yahweh vizuri awaambie

Bora sisi tunajua ushoga ni kitu kibaya, ila sio kutokana na Mungu.
 
Umemlisha maneno, kasema wanaweza kubarikiwa hata kama anajihusisha na mahusiano ya jinsia moja ni kama kusema unabariki walevi, wasengenyaji, wezi maana ni baraka tu ila sio kwamba kuna tukio rasmi la kubariki ndoa.

This is fake news sijui Jamiicheck imelala
Hapo ni ruksaa watu wafunge ndoa, jamaniii Pope Francis alichelewa wapiiii? Huyu ndo anafaa awe wa milelee.
 
Wokovu ni Nini , isipokuwa upumbavu Tu
Wokovu ni ukombozi kutokana na hatari au mateso. Kuokoa ni kukomboa au kulinda. Neno hubeba wazo la ushindi, afya, au kuhifadhi. Wakati mwingine, Biblia inatumia maneno kuokolewa au wokovu kwa kutaja muda, ukombozi wa kimwili, kama vile ukombozi waPaulo kutoka gerezani (Wafilipi 1:19)

sisi tumeokolewa kutoka kwa "ghadhabu," yaani, hukumu ya Mungu kwa dhambi (Warumi 5:9, 1 Wathesalonike 5:9). Dhambi yetu imetutenganisha na Mungu, na matokeo ya dhambi ni mauti (Warumi 6:23). Wokovu wa kibiblia wahusu ukombozi wetu kutokana na matokeo ya dhambi na kwa hiyo unahusisha kuondolewa kwa dhamb
i.
 
Hayo ya wakatoliki sie wakristo wengine inatuhusu nini? Katoliki kuruhusu ushenzi huo haituhusu wale ni mashetani na biblia inawajua. Watakimbiwa na waumini sooni watabaki na mashoga/wasagaji wao wajisalie wenyewe huko. Uasi umezidi sana
Ila wazinzi, wezi, majambazi ndo wakatolikii wa kweli? Poleeee wee.
Tena mtokee harakaa sanaa, mfyuuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anajua kila kitu,

Kama hana mpango wa kuingilia kitu anajua, na anajua matokeo yake. Si lazima ajue kila kitu?

Siwakosoi kwasababu mnachukia ushoga, nawakosoa mnavomlaumu huyo mzee utafikiri kanisa ni la huyo mzee

Ongeeni na Yahweh vizuri awaambie

Bora sisi tunajua ushoga ni kitu kibaya, ila sio kutokana na Mungu.
Mnatutakaga wenye makalio makubwa ya nini kama mnajua ufirauni ni dhambi?'Nyimbo za bongo flava zote ni ushoga na mnawashangilia.
 
Back
Top Bottom