Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Hivi issue imeletwa kuzima issue ya Mollel!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
papaaa mukulu wa pale roma-vatican atawafukuza wote,na watakosa maisha na hawana fani nyingine,na wakija mtaani watakutana na wazee waliozoea vijiwe akina KUHANI MUSSA,,,watapotea jumla!!wakuu habar ya KANISA KATOLIKI kubariki USHOGA au mapenzi ya jinsia Moja.....Kila mtu anafahamu, wale wazee wa WARAKA nataka nione uwezo wao wa kuandika, na WARAKA huo USOMWE kwenye Kila kigango au jumuiya...yaani wafanye kama vile walivyofanya DP WORLD.
Wanatumiaga kiingereza?
Kwa hiyo ww ulitaka aseme Moja Kwa Moja mkuu,!? Kwa wale wenye akili wajiongeze,wajinga wabakiSpecch original Papa huyu wa mchongo Kasema kwamba mapadri wanaweza kubariki mahusiano ya watu wenye jinsia moja lakini ndoa bado ni ya mwanaume na mwanamke, sassa kuna utofauti gani hapa ??
Ni suala la muda tu,
Hakuna mtu anavaa mabomu Ukraine na kwenda kukilipuaUSISAHAU NA UKRAINE PIAA,WAISLAM HUKO WANALPIUNA KILA SIKU MKUU..
PIA.USISAHAU KUWA NI HAWA HAWA WAISLAM NDIYO WALIANZISHA NA KUPIGANA VITA YA KWANZA NA YA PILI YA DUNIIAA...
DJ
WEKA ULE WIMBO UNAOSEMA MTAFUTE MTAFUTEEE,MTAFUTE WA KURUKA NAEEE,WE MTAFUTE MTAFUTE WA KUDANGA NAEEE,MOJA MOJA PAPA KARUHUSU TURUKEEE...!!!
TEH TEH TEH
Hiki ni chombo Cha habari Cha Vatican mkuu,Hiyo taarifa haina ukweli. Huyo anali trendisha ili kulipa airtime
acha kuandika upuuzi wewe@Moderator mmebariki huu upuuzi?Namsubiri padri ki
Time nimtoe marinda au padri nyaisonga ni nimtoe marinda
Una habari kwamba Anglikana Kuna Askofu shoga?Hayo ya wakatoliki sie wakristo wengine inatuhusu nini? Katoliki kuruhusu ushenzi huo haituhusu wale ni mashetani na biblia inawajua. Watakimbiwa na waumini sooni watabaki na mashoga/wasagaji wao wajisalie wenyewe huko. Uasi umezidi sana
Ona akili nyingine ndogo hii!! Wale mashoga maarufu wa miaka nenda akina Anti Ali, Anti Bilal, na wengineo wengi; si ndiyo nyinyi wavaa kobazi!!KABISA NA TUTEGEMEE KUONA MSURURU WA MAKAFIRI WAKIGEUKA KUWA MASHOGA NI SWALA LA MUDA TU
Maoni??? Hivi unajua yule Kadinali wa Marekani alifukuzwa juzi Kwa kupinga hili jambo? Au unataka ushahidi mkuu?Hii habari yako inajirudia. Ilishaletwa kitambo humu jukwaani. Na kimsingi haina ukweli wowote ule. Unatakiwa ukumbuke maoni ya Papa siyo sheria ya Kanisa
Ukiamua kuwa mzushi inawezekana pia, maana mnaambiwa mlete waraka mnarukaruka.Waraka mtaletewa kanisani huko muwasomee waumini. CNN au BBC wamzushie papa ili iweje? Kweli nimeamini bado wajinga mpo wengi sana yani habari imetangazwa dunia nzima bado umekaza shingo eti ni uzushi. Foolish
Ona akili nyingine ndogo hii!! Wale mashoga maarufu wa miaka nenda akina Anti Ali, Anti Bilal, na wengineo wengi; si ndiyo nyinyi wavaa kobazi!!
Mlianza kitambo sana. Maana hata kule Zanzibar ambako mko zaidi ya asilimia 90, ndiyo mnaongoza kwa huo ufirauni. Halafu mnakuja kujichekesha hapa!!
Katoliki haishiki Biblia kikamilifu, ndo maana Amri kumi Kutoka 20:1- Walizibadilisha, wakatengeneza za kwao. Hayo mapokeo wanayoshika, ndo huo ushoga unaingia ndaniLini Kanisa Katoliki limeunga mkono dhambi, ikiwemo ushoga?
Hebu mtuwekee kabisa hapa chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa Katoliki (Biblia Takatifu, Mapokeo Matakatifu, Katekisimu ya Kanisa Katoliki, Barua rasmi za Kichungaji, n.k.) kinachoonesha hivyo.
Ninatanguliza shukrani za dhati. [emoji120]
Tatizo lenu nyinyi ndugu zetu, ni unfiki. Kwenye imani mna mashoga wengi tu! Na hatujawahi kuwaona mkiwabagua kutokana na hiyo hali yao!Maoni??? Hivi unajua yule Kadinali wa Marekani alifukuzwa juzi Kwa kupinga hili jambo? Au unataka ushahidi mkuu?
Dada Mwajuma ndara ndefu, baba yako ndiyo kaffir kwa kuzaa mtoto pooza kama wewe.View attachment 2847127
TAFUTA BWANA UKABARIKIWE KANISANI EWE KAFIRI!
Unafahamu Biblia hii ilikusanywa na wa Wakatoliki?Katoliki haishiki Biblia kikamilifu, ndo maana Amri kumi Kutoka 20:1- Walizibadilisha, wakatengeneza za kwao. Hayo mapokeo wanayoshika, ndo huo ushoga unaingia ndani