Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

wakuu habar ya KANISA KATOLIKI kubariki USHOGA au mapenzi ya jinsia Moja.....Kila mtu anafahamu, wale wazee wa WARAKA nataka nione uwezo wao wa kuandika, na WARAKA huo USOMWE kwenye Kila kigango au jumuiya...yaani wafanye kama vile walivyofanya DP WORLD.
papaaa mukulu wa pale roma-vatican atawafukuza wote,na watakosa maisha na hawana fani nyingine,na wakija mtaani watakutana na wazee waliozoea vijiwe akina KUHANI MUSSA,,,watapotea jumla!!
 
Specch original Papa huyu wa mchongo Kasema kwamba mapadri wanaweza kubariki mahusiano ya watu wenye jinsia moja lakini ndoa bado ni ya mwanaume na mwanamke, sassa kuna utofauti gani hapa ??

Ni suala la muda tu,
Kwa hiyo ww ulitaka aseme Moja Kwa Moja mkuu,!? Kwa wale wenye akili wajiongeze,wajinga wabaki
 
USISAHAU NA UKRAINE PIAA,WAISLAM HUKO WANALPIUNA KILA SIKU MKUU..

PIA.USISAHAU KUWA NI HAWA HAWA WAISLAM NDIYO WALIANZISHA NA KUPIGANA VITA YA KWANZA NA YA PILI YA DUNIIAA...

DJ

WEKA ULE WIMBO UNAOSEMA MTAFUTE MTAFUTEEE,MTAFUTE WA KURUKA NAEEE,WE MTAFUTE MTAFUTE WA KUDANGA NAEEE,MOJA MOJA PAPA KARUHUSU TURUKEEE...!!!

TEH TEH TEH
Hakuna mtu anavaa mabomu Ukraine na kwenda kukilipua
 
Hiyo taarifa haina ukweli. Huyo anali trendisha ili kulipa airtime
Hiki ni chombo Cha habari Cha Vatican mkuu,

Screenshot_20231219-140015.png

Na waraka wa kuruhusu huu usodoma unaletwa makanisani kupitia Kwa makadinali Dunia nzima mda si mrefu utasomwa kama ule wa DP world🤣🤣🤣
 
Hayo ya wakatoliki sie wakristo wengine inatuhusu nini? Katoliki kuruhusu ushenzi huo haituhusu wale ni mashetani na biblia inawajua. Watakimbiwa na waumini sooni watabaki na mashoga/wasagaji wao wajisalie wenyewe huko. Uasi umezidi sana
Una habari kwamba Anglikana Kuna Askofu shoga?
 
KABISA NA TUTEGEMEE KUONA MSURURU WA MAKAFIRI WAKIGEUKA KUWA MASHOGA NI SWALA LA MUDA TU
Ona akili nyingine ndogo hii!! Wale mashoga maarufu wa miaka nenda akina Anti Ali, Anti Bilal, na wengineo wengi; si ndiyo nyinyi wavaa kobazi!!

Mlianza kitambo sana. Maana hata kule Zanzibar ambako mko zaidi ya asilimia 90, ndiyo mnaongoza kwa huo ufirauni. Halafu mnakuja kujichekesha hapa!!
 
Hii habari yako inajirudia. Ilishaletwa kitambo humu jukwaani. Na kimsingi haina ukweli wowote ule. Unatakiwa ukumbuke maoni ya Papa siyo sheria ya Kanisa
Maoni??? Hivi unajua yule Kadinali wa Marekani alifukuzwa juzi Kwa kupinga hili jambo? Au unataka ushahidi mkuu?
 
Hawana hiyo jeuri ya kupinga maelekezo ya kile kibibi kiwakala cha shetani duniani
 
Kuna watu hawajasoma hata sentensi tatu za kizungu, lakini wanatiririka maoni na kushambulia😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Waraka mtaletewa kanisani huko muwasomee waumini. CNN au BBC wamzushie papa ili iweje? Kweli nimeamini bado wajinga mpo wengi sana yani habari imetangazwa dunia nzima bado umekaza shingo eti ni uzushi. Foolish
Ukiamua kuwa mzushi inawezekana pia, maana mnaambiwa mlete waraka mnarukaruka.
Soma hapa
UNDERSTAND WHAT THE POPE SAID

"Fiducia supplicans" in simpler terms:

1. Blessings, not marriage: The Church understands blessings as ways to ask for God's grace and favour in various situations. This document clarifies that it's possible to bless same-sex couples without recognizing their union as marriage.

2. No change in marriage teaching: The Church's teaching on marriage as between a man and a woman remains unchanged. This blessing gesture doesn't endorse their relationship but shows God's love for all.

3. Blessings come in different forms: There are formal blessings, like at weddings, and informal ones, like at shrines. This document focuses on informal blessings, where anyone, including those in irregular relationships, can ask for God's blessing.

4. Blessings show humility and need for God: Asking for a blessing expresses trust in God and a desire for his goodness. Even if someone's situation isn't perfect, they can still seek God's grace.

5. Blessings have limits: While the Church can offer blessings to everyone, it can't bless anything contrary to God's will. So, this blessing doesn't legitimize same-sex unions but asks for God's guidance and love.

6. Discernment and respect: The document encourages pastors to use their judgment when deciding about such blessings. The setting and words should be clear to avoid confusion with marriage ceremonies.

7. Hope and openness: Ultimately, this document reflects the Church's desire to welcome everyone with God's love and mercy, even those in challenging situations. It's a step towards greater understanding and pastoral care.

Remember: This is a simplified explanation of a complex document. For a deeper understanding, consult the original text (the English version begins on pages 20 through 28) --
https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2023/12/18/0901/01963.pdf
 
makanisa ni mepesi kwa nyaraka za kidunia na kimwili kuliko za kiroho.
 
Ona akili nyingine ndogo hii!! Wale mashoga maarufu wa miaka nenda akina Anti Ali, Anti Bilal, na wengineo wengi; si ndiyo nyinyi wavaa kobazi!!

Mlianza kitambo sana. Maana hata kule Zanzibar ambako mko zaidi ya asilimia 90, ndiyo mnaongoza kwa huo ufirauni. Halafu mnakuja kujichekesha hapa!!
Screenshot_20231219_113054_com.facebook.katana.jpg

TAFUTA BWANA UKABARIKIWE KANISANI EWE KAFIRI!
 
Lini Kanisa Katoliki limeunga mkono dhambi, ikiwemo ushoga?

Hebu mtuwekee kabisa hapa chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa Katoliki (Biblia Takatifu, Mapokeo Matakatifu, Katekisimu ya Kanisa Katoliki, Barua rasmi za Kichungaji, n.k.) kinachoonesha hivyo.

Ninatanguliza shukrani za dhati. [emoji120]
Katoliki haishiki Biblia kikamilifu, ndo maana Amri kumi Kutoka 20:1- Walizibadilisha, wakatengeneza za kwao. Hayo mapokeo wanayoshika, ndo huo ushoga unaingia ndani
 
Maoni??? Hivi unajua yule Kadinali wa Marekani alifukuzwa juzi Kwa kupinga hili jambo? Au unataka ushahidi mkuu?
Tatizo lenu nyinyi ndugu zetu, ni unfiki. Kwenye imani mna mashoga wengi tu! Na hatujawahi kuwaona mkiwabagua kutokana na hiyo hali yao!

Tena huwa mnajisifu mpaka humu jukwaani, ya kwamba mtu kama huyo hata akifa hamumbagui kama tunavyowabagua sisi! Ila baada tu ya huyo Papa kutoa maoni yake kuhusu kutowatenga hao watu, kelele dunia nzima!!
 
Watu hawana mambo ya kufanya, hivi mnadhani wakatoliki ni wepesi kihivyo, taarifa hiyo imepotoshwa kwa kiwango cha lami.
Bado tuna imani na papa wetu usiku na mchana
 
Katoliki haishiki Biblia kikamilifu, ndo maana Amri kumi Kutoka 20:1- Walizibadilisha, wakatengeneza za kwao. Hayo mapokeo wanayoshika, ndo huo ushoga unaingia ndani
Unafahamu Biblia hii ilikusanywa na wa Wakatoliki?

Tuwekee hapa Pokeo Takatifu linalounga mkono dhambi, ikiwemo ushoga.
 
Back
Top Bottom