Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

We are all sinners, wewe hapo I'm sure hujatoa kikumi mwezi huu ni dhambi sawa tu na mwizi au mzinzi so bila neema unadhani ungeendelea kulindwa na Mungu au kuwa hai?
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio wema kutenda dhambi?

Mungu gani anaumba Binadamu wenye dhambi?
Ndio maana anawapa neema ili wabadilike, hell was meant for the devil alone not otherwise.
Kama hell ni kwa devil alone, mbona mnadai watenda dhambi wataenda hell?

Mungu anashindwaje kubadilisha wanadamu wasitende dhambi?

Mungu huyo Alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi wala shetani?
Hata kwenye Bible ukisoma 2 Peter, Yesu alipokufa alienda he'll kuhubiria wenye dhambi ili afufuke nao!! Unadhani bila neema angeenda huo?
Mungu huyo kama aliangamiza binadamu wote wadhambi kipindi cha Noah kwenye gharika ya mafuriko, Dhambi iliwezaje kuja tena?

Mungu mnayedai ni mjuzi wa vyote, Je Hakujua kwamba dunia itakuja kuwa na dhambi aidhibiti dhambi mapema na kumdhibiti shetani asilete dhambi?
 
Madanganyo pro max,ukweli ni kwamba,haipo hata siku Moja ukabariki mtu anayejihusisha na ushoga,Mbona Mungu aliwaangamiza kula Sodoma? Leo hii mlete ngojera wenye akili wawaelewe? Pole sana!
 
Wanatumiaga kiingereza?
Yaani kwa sasa sote hatuamini kama ni kweli na ni haki yetu kutokuamini maana sio jambo la kawaida kulingana na jinsi kanisa katoliki linavyoheshimika duniani lakini usimuamini mwanadamu kwa kila kitu ni Mungu pekee Ndiye Mkamilifu.Hata issue ya wanawake kuwa wachungaji ilianza kama mchicha kwa sasa ni mbuyu.Suala lenyewe la ushoga lilikuwa halitamkiki wala kutazamika miaka ya nyuma lakini kwa sasa mtu kujitangaza shoga ni kawaida kabisa.Hizo nchi za ulaya na Amerika hasa kwa kina Messi anakotoka pope Francis ni janga kubwa kuliko tunavyofikiri.KUMBUKA MTI ULIOKUWA KATIKATI YA BUSTANI ULIKUWA NI WA UJUZI WA MEMA NA MABAYA.Hivyo yanaanza MEMA yanafuata MABAYA.
 
Kama Jambo hili ni la KWELI nadhani haitokaa niende kanisani TENA.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Unakosea ndugu,chukua biblia,kabla hujasoma,mwombe Mungu akusaidie ujue wapi pa kwenda,acha vitabu vingine ila BIBLIA TU! Mimi baadae ya kusoma biblia ,nililihama 2012,sitaki hata kulisikia.
 
Mwongozo wa Wakristo ni Biblia, hakuna Aya hata moja inayohalalisha ushoga, Ila kwenye Quran, Aya zinazohalalisha ufiraji na uzinifu ni nyingi, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu ya 1 ukurasa wa 290 inasema Mtume wa Allah alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Pia Qur 33:37 inasema Mtume alimwoa Zainab make wa mtu kwa sababu Allah alitaka hivyo. Hawa wanaomsingizia Papa Paulo kuhusu ushoga, ni Aya gani ya Biblia inaruhusu ushoga?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Imeenda hiyo, rc huwa wanaanza polepole. Maana ya kubariki ni sawa na kufungisha ndoa hivo rc kuoa mwanaume mwenzako ruksaaaa
 
bora niliamua kubaki na mizimu yetu tuu nlijua tuu nikaondoka mapema.
 
Usiuingize Uislam katika ujinga na ushetani wenu.
Quran 33:37 ....na ukaficha katika nafasi yako aliyoyataka Mwenyezi Mungu kuyatoa(nayoni kuwa Mwenyezi Mungu amekuamrisha umuoe wewe huyo mkewe...."HUU NDIO USHETANI"Sasa. Hivi Mungu wa wapi anayeweza kumwamuru mtu amuoe mke wa mtu? Au tuendelee kufichua ushetani mwingine?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kanisa Katoliki Afrika na sehemu nyingine duniani wasiokubaliana na ushoga linabidi lijitenge na Kanisa Katoliki Ulaya na Marekani hasa huyu Papa na mambo yake. Kanisa linabidi lirudi kwenye misingi ya Ukristo.

RC Afrika inabidi wawe na Papa wao Mwafrika, mwingine ambaye ataweka wazi anapinga ushoga 100% bila kupepesa macho, anayefuata maadili ya Kiaafrika na Biblia na maagizo ya Mungu matendo ya Yesu na mitume.

Anglican Church walijitenga miaka 500, vivyo hivyo Lutheran, SDA, Methodist , Morovians na other protestants churches.

Huyu Papa anawachanganya waumini. Hana nia wala msimamo thabiti, imara.
 
CNN ni fake NEWS, alisema Trump. Hapa namuunga Mkono Trump nikiamini yupo Sahihi.

What a tragedy!! Kwa kanisa hili! With all brains they have....! Wanafikia maamuzi haya kweli?
Na hii ni fake news kutoka website ya Vatican mkuu?
 
Wakristu katika giza la ufiraji

Waislamu katika giza la mauji kwa kivuli cha jihadi

Shetani ameshaziteka hizi Imani mbili, wakristu na waislamu wamebaki kushutumiana tu nani ni mchafu kuliko mwenzie


ila papa Fransisi inapaswa anyongwe aisee

Ndio maana binafsi naamini hizi dini zote ni Upuuzi na zipo kwaajili ya maslahi ya watu.
Ukuaji Wa kweli Wa kiroho (Really Spirituality) ni tofauti Sana na mafundisho ya dini zote hizo.
 
Father kitima kama karibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa kanisa Katoliki waitishe mkutano wa dharura na kulitangazia kanisa la Tanzania msimamo wetu. Wapo bize kutoa nyarakanza Kisiasa na katiba mpya Sasa hili la kwao wapo kimya. Ni kinyime na maelekezo ya Mungu, kinyime na Mila za kanisa na kinyime na Mila za kiafrika.. watoe warakanwa kupinga na ikiwezekana tujitenge na hao wazungu ambao wambechanganyikiwa
 
Watakwambia huwa hawakurupuki.Na hii ni kudhihirisha wazi kuwa hizi dini sio zetu ni za wazungu na waarabu hivyo wanaweza kufanya mabadiliko yeyote kwa jinsi wanavyotaka ndio maana haitatokea papa mwafrika kwa vile hawaimini kabisa race yetu.Hata jina linadhihirisha maana Roman Catholic ni Ukatoliki wa Kirumi hivyo hata uwe Tanzania lazima ufuate utamaduni wa Kirumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…