Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Wengi huwa wanapotezwa na habari za namna hii, kumbe mzee wa watu amesema kitu tofauti
 
Mnadhani mnamdanganya nani? Wewe unadhani una nguvu kumzidi papa wewe? 🤣
 
Hamjamuelewa Papa mnakurupuka tu na propaganda za BBC[emoji16]
Wewe uliyemuelewa tusaidie maana hili ni suala mtambuka tukilielewa hakuna shida wala hapa hatugombani.Na kwa nini liwe na mchanganyiko hivi?Linapaswa kupata tafsiri sahihi ya nini hasa alichomaanisha papa ili sote tuwe na common understanding kwani shida iko wapi?Mbona mkataba wa bandari tulisimama kidete kutetea raslimali zetu wakiwemo viongozi wa dini bila kujali itikadi za vyama hadi serikali ikatikisika kwanini kwenye hili mnaweka itikadi za dini?Sisi hatumtuhumu papa Wala kanisa katoliki bali tunataka tuwekwe wazi ili watu waovu wasiendelee kupotosha.
 
Unaangamia Kwa kukosa maalifa
 
Biblia imekataa ushoga halafu kuna watu watatii maagizo,hapa ndio yanatimia ya ni heri kumtii mungu kuliko wanadamu.
 
Pale Vatican wameshaweka watu wao, ni ngumu sana kurevert hii kitu, ndo maana pope Benedict aliachia ngazi. Vilevile kama umefuatilia utaona ni makadinali watatu pekee ndio waliokua wanapinga hili swala, wakaishia kuitwa 'conservative cardinals'. Na structure ya utawala ya Anglican sio sawa na Roma, Kwa Roma kuna mambo level ya jimbo wanaweza fanya kivyaovyao lkn kuna mambo ambayo papa akitoa order ni global.

Mungu kama anaona kanisa lake ataliokoa, la sivyo ushoga unaenda kuja kuonekana ni kitu cha kawaida. Yaan nashangaa kweli kama waislam wa qatar waliweka msimamo juu ya ushoga na dunia ikafuata kweli Roma ndo leo ije ishindwe kuweka msimamo wake bali imeamua kabisa kupalilia njia ya kuidhinisha ushoga?
 
Aliwahi kugombea mwanatheologia nguli wa Afrika Cardinal Arinze kutoka Nigeria lakini alifanyiwa vigisu ukatoka moshi mweusi Sasa wamemchagua huyu mtu hata simwelewi kichwani kwangu najua papa mpaka leo ni Yohane Paulo 11
 
@ Hata hiyo aya ya quran uliyotafsiri ni uzushi mtupu ulivyotafsiri,

ukweli ni kwamba tumeambiwa waendeeni wake zenu mpendavyo, awe mbele, awe juu, awe chini, ainame,alale,abinuke yaani style yeyote iwayo, lakini zingatia kwamba pa kutia ni pale mbele, na ndio maana pakaitwa konde, yaani shamba

Kwahiyo ukitia mbele utazaa, kama ambavyo mbegu ukiitia kondeni huzaa,
Vinginevyo utakuwa umepanick tu kwa tamko la papa, wakati papa sio hata mkiristo bali freemason tu
 
Wale wazee wa waraka wa kulinda wizi wao pale bandarini hutawaona wakitoa waraka hapa kwenye Ushoga.

Nimekuja kugundua wale ni wezi na wajanja wajanja tu hakuna imani pale
 
bro ukweli mchungu unamezwa kwa fundo la konyagi! Ukitaka kuumeza bila chakusukumia utakuniga...tafuta kwanza kimiminika hicho then tuendelee na story
Aisee nimefatilia mwanangu, kumbe kweli!

Dah! Sasa naelekea kuachana na hizi Imani za kizungu..sijui nianzishe dhehebu langu! Imenisikitisha sana
 
Huna uwezo wa kuelewa kilichoandikwa na hujui tafsiri sahihi ya neno la kiingereza "blessing"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…