TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Hamjamuelewa Papa mnakurupuka tu na propaganda za BBC😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnadhani mnamdanganya nani? Wewe unadhani una nguvu kumzidi papa wewe? 🤣Ukiamua kuwa mzushi inawezekana pia, maana mnaambiwa mlete waraka mnarukaruka.
Soma hapa
UNDERSTAND WHAT THE POPE SAID
"Fiducia supplicans" in simpler terms:
1. Blessings, not marriage: The Church understands blessings as ways to ask for God's grace and favour in various situations. This document clarifies that it's possible to bless same-sex couples without recognizing their union as marriage.
2. No change in marriage teaching: The Church's teaching on marriage as between a man and a woman remains unchanged. This blessing gesture doesn't endorse their relationship but shows God's love for all.
3. Blessings come in different forms: There are formal blessings, like at weddings, and informal ones, like at shrines. This document focuses on informal blessings, where anyone, including those in irregular relationships, can ask for God's blessing.
4. Blessings show humility and need for God: Asking for a blessing expresses trust in God and a desire for his goodness. Even if someone's situation isn't perfect, they can still seek God's grace.
5. Blessings have limits: While the Church can offer blessings to everyone, it can't bless anything contrary to God's will. So, this blessing doesn't legitimize same-sex unions but asks for God's guidance and love.
6. Discernment and respect: The document encourages pastors to use their judgment when deciding about such blessings. The setting and words should be clear to avoid confusion with marriage ceremonies.
7. Hope and openness: Ultimately, this document reflects the Church's desire to welcome everyone with God's love and mercy, even those in challenging situations. It's a step towards greater understanding and pastoral care.
Remember: This is a simplified explanation of a complex document. For a deeper understanding, consult the original text (the English version begins on pages 20 through 28) --
https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2023/12/18/0901/01963.pdf
Kwenye Biblia.Wewe huyo Mungu mlikutana wapi?
Kauli za namna hii wabantu hawazipendi kabisa hasa waamini wa hizi dini mbiliHuwezi kupingana na papa wewe kilaza, labda uhame kanisa.
Wewe uliyemuelewa tusaidie maana hili ni suala mtambuka tukilielewa hakuna shida wala hapa hatugombani.Na kwa nini liwe na mchanganyiko hivi?Linapaswa kupata tafsiri sahihi ya nini hasa alichomaanisha papa ili sote tuwe na common understanding kwani shida iko wapi?Mbona mkataba wa bandari tulisimama kidete kutetea raslimali zetu wakiwemo viongozi wa dini bila kujali itikadi za vyama hadi serikali ikatikisika kwanini kwenye hili mnaweka itikadi za dini?Sisi hatumtuhumu papa Wala kanisa katoliki bali tunataka tuwekwe wazi ili watu waovu wasiendelee kupotosha.Hamjamuelewa Papa mnakurupuka tu na propaganda za BBC[emoji16]
Unaangamia Kwa kukosa maalifaPapa na vatcan hawafanyii kazi huu ujinga ulioandikwa na mashoga mafirauni.
Taarifa za vatcan ziko kwenye web yao na sii mitandao yenu ya kijinga.
Nendeni mkawasaidie HAMAS maana wananyukwa huko Gaza.
Mnaacha kufanya yenu mnakuja kuandika ujinga kuhusu Papa
Pale Vatican wameshaweka watu wao, ni ngumu sana kurevert hii kitu, ndo maana pope Benedict aliachia ngazi. Vilevile kama umefuatilia utaona ni makadinali watatu pekee ndio waliokua wanapinga hili swala, wakaishia kuitwa 'conservative cardinals'. Na structure ya utawala ya Anglican sio sawa na Roma, Kwa Roma kuna mambo level ya jimbo wanaweza fanya kivyaovyao lkn kuna mambo ambayo papa akitoa order ni global.kuna kitu hakipo sawa!
inawezekana katika tafsiri au huwenda msemaji hakueleweka au lililorahisi kabisa nafsi yake imemwongoza hivyo.
lakini vyovyote vile bado Kanisa kanisa litabaki Katoliki la mitume na kamwe nguvu za kuzimu hazitalishinda.
yanayopita ni mapito na nimagumu lakini naamini kwa muundo wa kanisa mahalia viko vitu haviwezi kufanyika Tanzania bado Kanisa litaheshimu mila, desturi zetu kama watanzania.
kila kanisa mahalia lina mamlaka kamili katika utendaji wake hivyo tusitegemee jambo ovu na lisikemewe ndani ya kanisa la Tanzania.
Swala la kuukubali ushoga kwa namna moja au nyingine halikuanza ndani ya Kanisa Katoliki pekee pia hiki kitu kilisikika mwanza Anglican church lakini mpaka leo kanisa la Anglican la Tanzania bado limesimama kwa uadilivu katika imani kwa kadri ya taratibu zetu kama watanzania.
nakubali kuwa inawezekana Pope kazungukwa na genge la washauri waliowaovu lakini na wao watapita lakini kanisa litasimama.
mathayo18:16 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
Kwanza hujui hata jinsi biblia ilivyoandikwa na waandishi walilenga nani na niniKwenye Biblia.
Aliwahi kugombea mwanatheologia nguli wa Afrika Cardinal Arinze kutoka Nigeria lakini alifanyiwa vigisu ukatoka moshi mweusi Sasa wamemchagua huyu mtu hata simwelewi kichwani kwangu najua papa mpaka leo ni Yohane Paulo 11Watakwambia huwa hawakurupuki.Na hii ni kudhihirisha wazi kuwa hizi dini sio zetu ni za wazungu na waarabu hivyo wanaweza kufanya mabadiliko yeyote kwa jinsi wanavyotaka ndio maana haitatokea papa mwafrika kwa vile hawaimini kabisa race yetu.Hata jina linadhihirisha maana Roman Catholic ni Ukatoliki wa Kirumi hivyo hata uwe Tanzania lazima ufuate utamaduni wa Kirumi.
Wengi wamepotosha , hawasomi wakaelewa
Hata hiyo aya ya quran uliyotafsiri ni uzushi mtupu ulivyotafsiri,Mwongozo wa Wakristo ni Biblia, hakuna Aya hata moja inayohalalisha ushoga, Ila kwenye Quran, Aya zinazohalalisha ufiraji na uzinifu ni nyingi, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu ya 1 ukurasa wa 290 inasema Mtume wa Allah alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Pia Qur 33:37 inasema Mtume alimwoa Zainab make wa mtu kwa sababu Allah alitaka hivyo. Hawa wanaomsingizia Papa Paulo kuhusu ushoga, ni Aya gani ya Biblia inaruhusu ushoga?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kanisa la hovyo sana hiloBiblia imekataa ushoga halafu kuna watu watatii maagizo,hapa ndio yanatimia ya ni heri kumtii mungu kuliko wanadamu.
Aisee nimefatilia mwanangu, kumbe kweli!bro ukweli mchungu unamezwa kwa fundo la konyagi! Ukitaka kuumeza bila chakusukumia utakuniga...tafuta kwanza kimiminika hicho then tuendelee na story
Daah Mkorinto madhara ya mwili wanausikaje?Wewe tafunwa tu,akikukemea mtu mwambie kanisa limeruhusu.
Sasa kupakuana Mavi si ndio Uarabuni kunaongoza au unabisha na iloNA MAKANISA YAO NDIO MAGENGE YA KUBARIKI USHOGA
HAKIKA NI WATU WALIOPOTEA TU NDIO WATAKAOENDELEA KUIAMNI HIYO DINI
Huna uwezo wa kuelewa kilichoandikwa na hujui tafsiri sahihi ya neno la kiingereza "blessing"Pope Francis has allowed priests to bless same-sex couples, a significant advance for LGBT people in the Roman Catholic Church.
The leader of the Roman Catholic Church said priests should be permitted to bless same-sex and "irregular" couples, under certain circumstances.
But the Vatican said blessings should not be part of regular Church rituals or related to civil unions or weddings.
It added that it continues to view marriage as between a man and a woman.
Pope Francis approved a document issued by the Vatican announcing the change on Monday. The Vatican said it should be a sign that "God welcomes all", but the document says priests must decide on a case-by-case basis.
Introducing the text, Cardinal Víctor Manuel Fernández, the prefect of the Church, said that the new declaration remained "firm on the traditional doctrine of the Church about marriage".
But he added that in keeping with the Pope's "pastoral vision" of "broadening" the appeal of the Catholic Church, the new guidelines would allow priests to bless relationships still considered sinful.
People receiving a blessing "should not be required to have prior moral perfection", according to the declaration.
Tafsiri isiyo rasmi
Papa Francis amewaruhusu makasisi kuwabariki wapenzi wa jinsia moja, maendeleo makubwa kwa watu wa LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma. Kiongozi wa Kanisa Katoliki la Roma alisema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kubariki watu wa jinsia moja na wanandoa "wasiokuwa wa kawaida", chini ya hali fulani. Lakini Vatikani ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi. Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke. Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu. Vatikani ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini waraka huo unasema makasisi lazima waamue kwa msingi wa kesi baada ya kesi. Akitambulisha andiko hilo, Kadinali Víctor Manuel Fernández, mkuu wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya lilibaki "imara kwenye mafundisho ya kitamaduni ya Kanisa kuhusu ndoa". Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa ya "kupanua" rufaa ya Kanisa Katoliki, miongozo hiyo mipya itawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi. Watu wanaopokea baraka "hawapaswi kuhitajika kuwa na ukamilifu wa maadili", kulingana na tamko hilo.
Hivyo kutokana na tamko hili la Vatican tunapaswa kupaza sauti kuu ya kupinga kwa nguvu zote jambo hili na ikiwezekana sisi tusio na dini tuandike waraka na kusambaza kwenye vijiwe vyote vya kahawa,magengeni,minadani, kwenye mabaa, kwenye viwanja vya michezo ili usomwe kila iitwapo leo kama ambavyo wenzetu walifanya kupinga mkataba mbovu wa DP - World.Naandaa utaratibu wa kukutana na wanasheria,watetezi wa maadili wasio na mrengo wowote wa kidini ili tuweze kuandaa waraka utakaokiokoa kizazi chetu.Nakaribisha maoni zaidi na naomba radhi kwa kuingilia masuala ya dini zenu ila mimi natetea jamii yetu isiyo na hatia.