Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Wengi sana wanasalia nyumbani nowadays sababu ya watumishi kushindwa kukemea dhambi wazi wazi!!

Linarudi Kanisa la Kweli Ili linyakuliwe, Kanisa lile la kwanza.

Tutakuwa kitu kimoja, wakati waovu nao watakuwa kitu kimoja na Ibada zao za kishetani.


Ubarikiwe.
 
Wanaita Sunna au Mambo ya pwani

Wavaa msuli wanapenda sana hiyo mambo
 
Amen, Mimi naabudu kanisa linakemea dhambi kwelikweli, tatizo moja tuu ni tunaabudu jumapili, na mchungaji anasema haina shida
Atahama tu,

Zinakuja SHERIA Kali sana za kishetani Kwa dini na madhehebu yote yakiyosajili sirikalini.

Ni whether aamue kushirikiana nao ahalalishe dhambi au ajitenge nao.
 
Amen, Mimi naabudu kanisa linakemea dhambi kwelikweli, tatizo moja tuu ni tunaabudu jumapili, na mchungaji anasema haina shida
Kama unafunga siku ya Saba ya juma kama kumbukumbu na Ibada kufurahia uumbaji wa Mungu, uko katika good track.

Watumishi walifuta amri hiyo kwenye BIBLIA Yao, Ili WANADAMU wadanganywe juu ya uumbaji.
 
Kanisa Katoliki haliwezi kuyumba sababu limekuwepo kwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita.Walijaribu kina Martin Luther kulitikisa Kanisa lakini walishindwa,hao watakaokimbilia hayo makanisa mengine waende tu na bado Kanisa litabaki Imara
Martin Luther alikuwa alishindwa nini?

Alikuwa na lengo la kuitikisa kanisa Katoliki?

Martin Luther alifanikiwa katika malengo yake yote kasoro moja tu la "Babtism" Ubatizo

Inaelekea hujui hata historia ya kanisa (Church History)
 
Kwanza hujui hata jinsi biblia ilivyoandikwa na waandishi walilenga nani na nini
Duh. Hii nayo inaweza ikawa hoja. Ila kwa vile nimesoma na kuelewa basi Wacha iwe hivyohivyo.
 
Je Mimi nikiitambua sabato na kuendelea kuabudu kanisa la jumapili hapo ni dhambi?
Muda umeisha, soon utajitenga tu,

Yesu mwenyewe analikusanya Kanisa lake, endelea Kwa muda huu mfupi, lakini ni suala la muda tu utaondoka huko, sababu ni ya wenyewe Jumapili.
 
Una uhakika hapajawahi kuwepo Papa muafrika!.

The three African popes—who very possibly were Black
 
Mungu hajaumba shoga usidanganye jamii aidha ni tatizo la kihormone ila ni chafuko la uharibifu sema tu t
Una uhakka binadamu ameumbwa na mungu? Kama una uhakka kwann unataka Iman Yako imuamulie mwngne Cha kufanya. Je kama ye hamuamini uyo mungu wako?
 
RC ni kama chama cha siasa, kigeugeu hata katika misingi ya maandiko wao kila mara wanatoa ya kwao kukiuka maandiko
"TO BE OR NOT TO BE" Kama alivyotunga William Shakespeare.
Ni aidha umo au haumo hakuna kupindisha njia kuelekea kwa shetani na jehanamu
 
Huyu mzee hajui atendalo.
Condom zinakatazwa, ushoga ruhusa.
Mapadre wanakatazwa kuoa, ushoga ruksa.
Kutoa mimba kunakatazwa, ushoga ruksa.
Siyo yeye kuna msukumo ndani yake au kutoka kundi fulani ndani ya taasisi yake. He 8s blinded by something
 
papa hajaunga mkono ushiga tusimsingizie
 
Ni balaa kubwa na wafuasi wao wanatetea matamko bila kuangalia jamii yetu inapata hasara gani.Jambo hili likikikuta kwenye familia yako utajuta kutetea uovu huu mkubwa katika jamii yetu.
Biblia inasema zinaa hata isitajwe kwenu.
Mnafikii wewe, hao mashoga wanaliwa na nani? Si nyie wenyewe mnaopinga hapa, mxxxxiiiiiieeeeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…