Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Nenda website ya Vatican kasome Fiducia supplicans. Naona mapenzi yako kwa Catholicism yanakufanya uwe kwenye denial. Sasa hata askofu wangu wa Dar na maaskofu wa nchi zinazotuzunguka wameuelezea waraka wa papa, wewe bado unashikilia haupo. Pole
Tatizo uelewa wako wa kilichoandikwa ni butu. Sijaona popote hayo madai yenu zaidi ya tafsiri zenu mkishabikia mnayoyataka na kuyapenda
 
Hawa ni suala la muda wataanza kuruhusu kupandana
 
Mkuu hujanielewa vzr. Huyo aliye-coment ujinga nimemjibu. "si kweli".
 
Ninao, Ila sioni sababu ya kuwachukia wapenzi wa jinsia moja
Chukizo la uharibfu. Kuna stage tumefika tumerelux tungepata
yapo machukizo mengi tatakuja.Hapa wana wa Mungu jiandaeni naongea na wana wa Mungu ,Papa hakutakiwa hata kuongelea hizo habari yeye nikiongozi wa dini na Mungu hayo mambo hapendi.Asing'ate maneno tumesoma Ufunuo na Daniel tunajua ni nini kinakuja.Hayo mambo ni machukizo yeye kama kweli ni mtu wa Mungu hatakiwi hata kuongelea huo uchafu, si tuseme tu ukweli ushoga na dini ni wapi na wapi baraka zina toka wapi
Angesema Mashoga wote waombe rehema au toba au waungame nasio kubariki same couples anatufanya tuone nae nae mwana wa Joka.Hapo hatuelewi yaani kuhusu ushoga hatuelewi na hatutaelewa.Mu gu hapendi ni Chukizo fullstop
 
Uamuzi mzuri sana kwa kanisa katoliki, hakuna sababu ya kuwabagua wapenzi wa jinsia moja.. ni haki Yao kupendana.
Mwana wa joka! Shabikieni ila mkae mkijua ukifa kunamaisha tena Jehenam inatisha sana ni moto hatari........ uwe mchawi ,pepo, jambazi kuna moto tutachomwa moto
 
Hii ni taarifa ya uwongo, tuwe tunasikiliza vitu na kuelewa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Uwe na akili taarifa ta uongo Neno same sex couple ni la nini kwa kiongozi wa Dini huku unajua Mungu hapendi hicho kitu.Leo wanapaka mafuta kesho utasikia mengine.Yesu anasema tubu naja Haraka,Yesu anakuja Haraka
 
Unajidanganyaa wee? Hebu amka usingizini utajikojolea buree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan walio kuletea dini, hawajui ila wee ndo unajua?
Rais wa China kaeleza vizur kabisaa.
 
Wakatoliki Waafrika na Waarabu ndio mna shida na kauli ya Papa,huko kwingine wamemuelewa vizuri tu.
Ndo watajijuu safariii hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watake wasitake ndo ishakua hivyo
 
Mwana wa joka! Shabikieni ila mkae mkijua ukifa kunamaisha tena Jehenam inatisha sana ni moto hatari........ uwe mchawi ,pepo, jambazi kuna moto tutachomwa moto
Kumbe had majambazi, wazinzi, wezi, watachomwa motoo? Bas na mashoga muwaache watachomwa wenyeww huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda website ya Vatican kasome Fiducia supplicans. Naona mapenzi yako kwa Catholicism yanakufanya uwe kwenye denial. Sasa hata askofu wangu wa Dar na maaskofu wa nchi zinazotuzunguka wameuelezea waraka wa papa, wewe bado unashikilia haupo. Pole
Inaonekana hata hiyo Fiducia supplicans umeishia kusoma mistari miwili tu.
Mbona imetamka wazi kuwa kwa misingi ya imani na mafundisho ya Kanisa, kanisa halina nguvu ya kualalisha ndoa za watu wa jinsia moja.
Kuna "Rite" na "Liturgy". Hapo ndipo watu wanapochanganya mambo. Wasubiri ufafanuzi zaidi ambao utafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…