Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Wizooo naomba ongea na Extro, ndoa iwe mwakani mwanzoni, pale St Peter's posta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nasemajee, ndoa ipooo atake asitakeee

Mapema alfajiri mimi na mume wangu Extrovert tunabarikiwa ndoa yetuu ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ pambejee udrugu akee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na kweli, kipindi hicho Yahweh alikua on fleek, alikua anaingilia vitu, alikua hadi anafanya appearances....

Sasa hivi anaruhusu watu baki wapindishe sheria zake ovyo tu, inafikirisha
 
Papa angechumbiwa yeye kwanza aone kama kuna raha ya kulazwa bila nguo na kushikiliwa matako usiku kucha.
๐Ÿšฎ
Kwan amesema msiokua mashoga ndo muwe? Yeye amesema walio mashoga wawe huru kufunga ndoa kanisani, sasa nyie straight uchwara hasira za nn? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maamuzi sahihi kabisa, wapenzi wa jinsia Moja ni binadamu kama wengine. Wanastahili kuishi kwa uhuru.
Acha useng.e wewe kwani mkifrn kimya kimya bila kutuchefua hamtamwabudu huyo shetani hadi mshike mabango huko RC kwamba mnaenda kufirn?
 
Ndoa ni kati ya mtu mume na mtu mke fullstop, hayo ndiyo mafundisho tanzu ya kanisa katoliki tangu karne ya kwanza. Epuka matapeli.
 
Hameni mtuachie kanisa letu tufunge ndoa kwa raha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kesho naenda kigangoni kufunga ndoa, ole wake mtu alete mbambamba.

Mimi na dem wangu tumeruhusiwa na PAPA kutafunana bila bughudha.
Wizooo una demuu wee? Wee c demu wa Extroo, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Usinikaushe kizazi mie khaaah
 
Kwan amesema msiokua mashoga ndo muwe? Yeye amesema walio mashoga wawe huru kufunga ndoa kanisani, sasa nyie straight uchwara hasira za nn? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Asante sana,msalimie papa๐Ÿ˜…
 
Mdogo mdogo clutch control ipo siku isiyo na jina itaachiwa mwendo mdundo
Yaani jinsia moja wana bariki wake wengi wana kataza ebhanaeeeee kweli dunia uwanja wa fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ