Pre GE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664
Nadhani huu ndio mchango duni zaidi kwenye kongamano hilo , yeye anawaza ruzuki ni hela ya kula tu
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664
Mi nadhani CCM ndio isingekuwa funded na Hela za walipa kodi maana iliachiwa mali nyingi na tanu ambazo zilipaswa ziwe mali za watanzania lakini zikajeuzwa za ccm...hii ingesaidia kulevel ground ya ukwasi wa vyama maana, hawa ccm wanahela za kuhonga nchi zima ili kuendelea kutetea maslahi yao.
 
Naunga mkono hoja,

Unawapa pesa ili iweje???? Nchi masikini kama Tanzania tunagawia pesa wanasiasa wanajitajirisha wao na familia zao.

Sio ruzuku pekeake, Mishahara, posho na nafuu zingine zote ambazo wanasiasa wanazipata zipitiwe, hawa watu wanatunyonya sana
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664
Mkuu asante kwa bandiko hili, hii hoja ya ruzuku kwa vyama vya siasa, sikuanza nayo leo, nilianza nayo tangu enzi za JPM, Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

P
 
Chadema hivi mnajua huwa mnataka nini? Pascal alijibu hoja ya Zitto …No wonder Lissu anawaona ninyi ni wasaka asali…wewe ni chawa wa Mbowe tunajua unavizia boss atasema nini
Siasa za Mbowe hazitegemei ruzuku duni ya serikali , huyu ni Bilionea , ungeweza kujenga hoja yako bila kutaja Mbowe wala Chadema , hoja yako umeiharibu
 
Tuseme kuwa Zitto amekengeuka, kukengeuka sio usi ni kuwa na akili kama za kenge hapa wenye akili za mbali wanamuona Zitto kama katumwa/kajituma .

Nimemuona mwanaJF Pascal Mayalla anasalula mbele ya wanajukwaa kuhusu kujitolea kwenye vyama vya siasa, dhima ikiwa kazi ya siasa ni yakulipwa au kujitolea

Zitto anataka pesa za :-

Maji
Dawa
Elimu
Ulinzi
Utalii
Afya
Ujenzi
Miundombinu

Zipelekwe kwenye malipo ya wanasiasa wafanye starehe

Kwa niaba ya wanajf namshukuru Pascal mayalla kutuwakilisha vema

USSR

=====

PASCHAL MAYALA AMJIA JUU DAKTARI WA MAOKOTO NA MICHONGO YA GHAFLA

Hivi sasa kama kuna mtu anachukiwa zaidi na Freeman Mbowe hapa Duniani ni Ndugu Paschal Mayala.

Mayala ni mwanahabari mkongwe na mahiri, aliamua kutoa ya moyoni kwa kutumia lugha nzuri. Hapa anayesemwa ni mbowe maana anatajirika kupitia siasa wakati wanachama wake wanaumia.

Au mmesahau kauli za viongozi wa Chadema juu ya accountability ya michango ya 'Join the chain'? Hao ndio Chadema chini ya Alwatani Freeman aikael Mbowe, Daktari wa maokoto na michongo ya ghafla.

Kuna aliyewahi kuona michango ya Hanang waliyoamua kuchangisha kupitia account ya cdm waliipeleka lini kwa wahanga? Huyo ndio master mbowe sasa!
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664
Wapige hapohapo! Wamezoea hao.
Sasa hivi kila mtu anataka kuanzisha chama ili watafune pesa za wananchi.
Rais kama umemsikia huyu kijana Pascal Mayalla, usipepese macho.
Futilia mbali hiyo kitu.
 
Naunga mkono hoja, viongozi wa vyama waingie mtaani wauze sera zao wawashawishi wananchi wawachangie. Pia viti maalum vifutwe, huwezi kumuwezesha mtu kwa kumpa vitu vya bure. Weka tu mazingira mazuri ya yeyote kushiriki siasa then watu wapambane
 
Pascal Mayalla , Kuna hatari gani unaziona kwa vyama vya siasa kupewa ruzuku? Unasukumwa na nn ktk ushauri wako huu?

Je, ni uzalendo wako kwamba kwa umaskini wa nchi yetu fedha hizi zingeweza kufanya mambo mengine?

Au unataka vyama vya upinzani viwe dhaifu ili vife kabisa , halafu chama chako ccm kitawale daima?

Unaposema vyama vya upinzani vichangiwe na wanachama, wafurukutwa na wapenzi wa chama, unamaanisha kweli? Hujui kwamba ccm humuandama mpk kumfilisi yeyote mwenye ukwasi anayejinasibbisha na vyama vya upinzani??
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664
Showing true colours..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante kwa bandiko hili, hii hoja ya ruzuku kwa vyama vya siasa, sikuanza nayo leo, nilianza nayo tangu enzi za JPM, Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

P
Mimi nakubaliana na hoja yako lkn tunawezaje kuepuka vyama vya kiasisa kutekwa na magenge ya kiarifu na watakatishaji fedha? Mchango wa vyama vya kiasiasa makini ni muhimu kwa maendeleo ya nchi kama tutaweka usimamizi mzuri.

Kuwekwe vigezo au masharti magumu kwa chama kupewa ruzuku ili kuthibiti wahuni kujianzishia vyama vya siasa vya mchongo kwa ajili ya kupata ruzuku/kodi za wananchi wetu.

Matokea ya uchaguzi mkuu yaweza kuwa kipimo cha chama "serious" kuwa na vigezo vya kupata ruzuku ya serikali. Mfano ili kupata ruzuku, chama kitalazimika kupata mfano asilimia 5% ya kura zote za uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji/madiwani au kura zote za wabunge au kura zote za raisi.
Na chama kikishindwa kupata angalau aslimia 1% ya kura zote mara mbili mfululizo katika uchaguzi mkuu kifutwe kwenye daftali la vyama vya kisiasa.
 
Back
Top Bottom